Picha za baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya

lucy.jpg LUCYTHOMASMAYENGAMBUNGEVITIMAA.jpg

Lucy Thomas Mayenga
VITA YA WABUNGE WAREMBO, SIRI NJE
IMEFICHUKA! Madai ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Geita, Vicky Paschal Kamata kuwatumia meseji za kashfa wabunge wenzake, Lucy Thomas Mayenga (CCM) na Catherine Valentine Magige (UVCCM)Mkoa wa Arusha sasa mambo hadharani.
Mbunge wa CCM kupitia kadi ya Umoja wa Vijana (UVCCM), Mkoa wa Arusha, Catherine Valentine Magige .
Kwa mujibu wa chanzo chetu, wabunge hao warembo wako katika vita baridi ikiendeshwa chini kwa chini kwa Cathy (pichani) na Lucy kudai kwamba wamekuwa wakitumiwa meseji zenye kejeli na kashfa nzito kutoka kwa mheshimiwa Vicky.
KUNA SABABU?
Kwa mujibu wa chanzo chetu, licha ya sababu kutokuwa wazi sana, lakini madai ni kwamba wana bifu linalokimbilia mwezi wa nne sasa.
"Unajua si rahisi wao kuweka wazi bifu lao, lakini wenyewe watakuwa wanajua nini kiini, ukifuatilia utagundua kuwa maisha yao yamekuwa ni ya vikundivikundi, akina Lucy wana kundi lao na Vicky ana la kwake," kilisema chanzo hicho.
Mbunge wa CCM kupitia tiketi ya Umoja wa Vijana, Lucy Thomas Mayenga
KWA NINI VICKY?
Chanzo kiliendelea kuanika kwamba, baada ya meseji zinazodaiwa kukosa staha kutumwa na asiyejulikana kwenda kwenye simu za mkononi za Cathy na Lucy, waheshimiwa hao hawakupembua sana mchele, moja kwa moja wanadaiwa kumtaja hasimu wao kwenye vyombo vya dola kuwa huenda anahusika na ‘utundu' huo.
POLISI WAFUATILIA MINARA YA SIMU
Duru za kipolisi zinadai kuwa kufuatia waheshimiwa hao kumlalamikia Vicky, wana usalama hao walianza kuchunguza mawasiliano yake ambapo walibaini mambo makuu mawili.
kupatikana na kulifanya gazetina sakata hili ili kupata mbivu na mbichi na kuzianika bila kusitasita.
link:http://utamuutamu.blogspot.com/2014/10/hii-hapa-vita-kati-ya-wabunge-warembo.html
link2:http://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1312/2010-2015
 
Jamani mi sijaelewa hawa wa dada ndio wakuu wawilaya jinsi walivyo au ni enzi za usichana wao?
 
Mimi nanilii yangu husimama mara moja kwa wiki tatu, lakini nilivyo ona hilo toto imesimama kwa mara ya pili.
 
Yani kwa habari hizi Jf nimewavulia kofia kwa umbea. Jf imeharibika!!! Imefikia hadi habari za umbea zinakaa muda mrefu hivi na kupata promo? Hapo mkiambiwa mtaje mmoja mmoja hao mnaotuma picha zao hata hamjui nani ni nani. Wengine hata kwenye siasa hawapo kabisa hata U Dc haujapata kutajwa kwao, mmeweka picha zao. Aibu kushabikia uzushi.
 
Acheni uongo huyo siyo Lucy ni mdogo wake na pia Lucy siyo mkuu wa wilaya mpya ni wasiku nyingi alikuwa Uyuwi.

Tuache kushabikia mambo tusiyoyajua ndugu zangu!
 
kuna moja niliiyona kavaa vikuku miguu yote miwili, na kawaida ya uvaaji huo wa vikuku inakua imetoka ruhusa ya "twanga kote kote", vipi hawa wakuu wa wilaya wapya nao wanaruhusu kugongwa 'kaugonjwa pendwa?'

KAKA MKUU ANAtuDHARAU SANA WATANZANIA, NYUMBA NDOGO ZAO NDO ZINAPEWA SURPLISE ZA ZAWADI KIPUMBAFU NAMNA HII?? JAMANI TUIKATAE CCM KT BOX LA KURA ILI HIZI ZAWADI WANAZOPEANA TUZIONDOE KATIKA KATIBA YETU, HUU NI UHUNI NASEMa
 
😀😀😀😀😀 kidumu chama cha mapinduziř
 

Attachments

  • 1424516916157.jpg
    1424516916157.jpg
    15.1 KB · Views: 417
Back
Top Bottom