Picha ya thamani sana!

hao ni makamanda wa chadema enzi hizo za ukandamizwaji wa kibeberu.
ukitaka kuiona sasa ngalia maandamano ya arusha.
 
Paul Kijoka, huu ni "uchochezi"!.

Mkuu Pasco
Sijaona uchochezi hapo
Au wakoloni weusi wewe huwaoni
Watu wanaojilimbikizia na kujigawia cake ya taifa wao na familia zao tuwaiteje
Watu wanaojigawia rasilimali za nchi bila kujali maisha ya wananchi wa kawaida tuwaiteje
Watu wanaomiliki uchumi wa nchi yetu bila kujali wananchi wa hali ya chini au upatikanaji wa huduma muhimu kwa wananchi wao tuwaiteje
Watu wanaokandamiza haki za raia wa hali ya chini bila kujali na wao wana haki ya kuishi tuwaiteje
Watu ambao wako radhi kuuza nchi wakiwa kama viongozi waliokabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi tuwaiteje
Hayo yote ni maswali Pasco
 
huwezi jua kama huwajui watu hawa labda ungeoneshwa unaowajua ungeona muhimu wao wana mapinduzi halisi si chama cha mapinduzi wa uongo saluute che r.i.p
 
Hee kumbe huyo ndiyo Che? Nilikuwa namsikiaga tu,mwee.
Picha ina gharma ya shilingi ngapi?
 
huwezi jua kama huwajui watu hawa labda ungeoneshwa unaowajua ungeona muhimu wao wana mapinduzi halisi si chama cha mapinduzi wa uongo saluute che r.i.p

Kama sentensi rahisi kama hii umeshindwa kuipanga, mtihani wa form four utatoka kweli? Matokeo yamekaribia kutoka tembelea tovuti ya necta kila mara.
 
value ya hii picha inajulikana kwa wapiganaji..! kwa wazushi ni kama anaona maruwe ruwe..!

haya maneno hata kwenye Bibilia yapo yanasema " neno la uzima kwa wanaopotea ni upuuzi lakini kwa wanao okolewa ni Nguvu ya Mungu.."
 
heshima uiyoni hama kweli majua wapo we utambui umuhimu wa che au castro umechelewa midume ya KAZI
BID UP MWANA UMENIKUMBUSHA MBALIII
 
Back
Top Bottom