Picha ya Seikh Ponda...

Status
Not open for further replies.
hivi ana elimu gani huyu mtu?

Kwa mujibu wa sheikh mkuu huyu jamaa hakwend ahata darasa la kwanza, hajui kusoma wala kuandika hata kukariri quran hawezi. mbumbumbu la kutupwa. lakini mambumbumbu wenzake wanamwona wa maana kuliko hata Quran yenyewe.

Usione anaonekana mzee hivyo, inasemeka mwonekano wake wa kizee uko tofauti na uhalisia wa umri wake.
 
uyu mcheza karate ana roho mbaya sana aisee, mwone hata sura tu. yaani amejaa ukatili na kama viongozi wa nchi hawatakuwa makiini, huyu ndo ataanzisha watu wa kujilipua na kufanya ugaidi hapa tz..ni mtu hatari sana kuwepo hapa tz na kwamba yeye ni mrundi....sijui kwanini wasimrudishe kwao? hivi uraia ukiwa umepewa hapa tz, hatuwezi kumnyang' anya?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom