Mkare JF-Expert Member Dec 21, 2010 504 78 Jun 3, 2011 #1 View attachment 31441 ha ha ha... Kumbe jamaa alikuwepo pale nyuma... Sikumuona
Lukansola JF-Expert Member Sep 5, 2010 5,435 1,597 Jun 3, 2011 #5 hapa walikuwa wanaangali mechi ya Man U na Barcelona, michezo huunganisha watu wa mataifa mbalimbali bila kujali dini, tabaka au rangi!
hapa walikuwa wanaangali mechi ya Man U na Barcelona, michezo huunganisha watu wa mataifa mbalimbali bila kujali dini, tabaka au rangi!
pmwasyoke JF-Expert Member May 27, 2010 4,613 3,018 Jun 3, 2011 #7 Naamini enzi za kuamini ushahidi wa picha mahakamani zimekwisha!
Mkare JF-Expert Member Dec 21, 2010 504 78 Jun 3, 2011 Thread starter #8 itnojec said: jamaa ni mkare Click to expand... Umeona eeh
Mkare JF-Expert Member Dec 21, 2010 504 78 Jun 3, 2011 Thread starter #9 Asprin said: Mkare hebu tutumie picha ya mwezi. Click to expand... Babu umeanza... Nitatuma...tehe
Mkare JF-Expert Member Dec 21, 2010 504 78 Jun 3, 2011 Thread starter #10 Lukansola said: hapa walikuwa wanaangali mechi ya Man U na Barcelona, michezo huunganisha watu wa mataifa mbalimbali bila kujali dini, tabaka au rangi! Click to expand... Na wewe, kukumbushana tu machungu... Hya bana
Lukansola said: hapa walikuwa wanaangali mechi ya Man U na Barcelona, michezo huunganisha watu wa mataifa mbalimbali bila kujali dini, tabaka au rangi! Click to expand... Na wewe, kukumbushana tu machungu... Hya bana
upele JF-Expert Member Mar 3, 2010 364 31 Jun 3, 2011 #11 may be true he was there too Conquest-kuku wako manati ya nini
upele JF-Expert Member Mar 3, 2010 364 31 Jun 3, 2011 #13 Mkare said: Na wewe, kukumbushana tu machungu... Hya bana Click to expand... nimependa avatar yako
Safina JF-Expert Member Jun 18, 2009 497 64 Jun 3, 2011 #14 itnojec said: jamaa ni mkare Click to expand... Ni zaidi ya mkare. Hebu tumpe jina lingine!!!! Eti eheeeeeeeeeee.
itnojec said: jamaa ni mkare Click to expand... Ni zaidi ya mkare. Hebu tumpe jina lingine!!!! Eti eheeeeeeeeeee.
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,015 95,398 Jun 3, 2011 #15 Mkare said: Na wewe, kukumbushana tu machungu... Hya bana Click to expand... Sikujua unashabikia timu ya mashetani, tena mekundu.....Pole!
Mkare said: Na wewe, kukumbushana tu machungu... Hya bana Click to expand... Sikujua unashabikia timu ya mashetani, tena mekundu.....Pole!
Mkare JF-Expert Member Dec 21, 2010 504 78 Jun 3, 2011 Thread starter #16 upele said: nimependa avatar yako Click to expand... Ha ha ha...! Thanx
Mkare JF-Expert Member Dec 21, 2010 504 78 Jun 3, 2011 Thread starter #17 Asprin said: Sikujua unashabikia timu ya mashetani, tena mekundu.....Pole! Click to expand... Ha ha ha... Hy ndo yenyewe babu
Asprin said: Sikujua unashabikia timu ya mashetani, tena mekundu.....Pole! Click to expand... Ha ha ha... Hy ndo yenyewe babu
Hute JF-Expert Member Nov 25, 2010 6,537 6,459 Jun 3, 2011 #18 sasa usama pale nyuma anafanya nini jamani? huyu mpigania haki za waislam mbona hivyo tena...nilijua amekufa kumbe jini...majini wanayofuga?
sasa usama pale nyuma anafanya nini jamani? huyu mpigania haki za waislam mbona hivyo tena...nilijua amekufa kumbe jini...majini wanayofuga?
Dr.Chichi JF-Expert Member Apr 30, 2008 2,394 631 Jun 4, 2011 #19 Ha ha ha ha huyo jamaa ni noma ile mbaya