picha ya mh pinda

mukizahp2

JF-Expert Member
Jul 28, 2012
706
377
pinda.jpg mtu yoyote anae pingana na sisi pigeni tu....mh pinda
 
Hahahahahaaaaaa ni hatari sana....ngoja niifanye ndii screensaver yangu....
 
tatizo la Mheshimiwa ni kueleza hisia zake binafsi pale anapoona mabo hayaendi vyema. Hakawii kushikwa na hisia kali. alitakiwa ajibu kama serikali, kama waziri mkuu, kama msimamizi wa sheria yeye akajibu kama Mizengo Kayanza Peter Pinda. kwa hisia kama hizo jibu lilikuwa sahihi kwa nafasi yake ameeleweka tofauti.
 
Back
Top Bottom