😃😃😃Mzee wako ni sawaa na mzee wangu naye alikataa tabata kununua kisa kuna mafisi anajilaumu mpaka leo...Picha ilipigwa 1961, flexing on his new Yahama baada ya kukataa kununua shamba la heka 500, Kimara-Dar es salaam kwa shilingi 30/- za kitanzania kwa madai hawezi kuishi na mafisi huko maporini.
View attachment 2935316
Mguu umeuona?Mzee mhuni
Mbona kama pekuMguu umeuona?
HHahaMbona kama
Usinikumbushe enzi hizo mie mhhhh.Nadhani ndiye alikuwa kijana tajiri, mtanashati, mnyamwezi halafu bishoo na alijua kutupia kwa kipindi hiko, wasichana miaka hio ambao leo ni vikongwe walimuelewa sana.
Kwa mwanzoni mwa miaka ya 60 kumiliki bike kama hio ni kama leo una Range Rover Velar ya 2024.
Kipindi hiko traffic anasimamisha baiskeli inakaguliwa kengele hadi breki sio poa.
His name is Sanlé Sory a Burkinabe photographer.Kwenye picha umetudanganya mtoa mada, huyo jamaa anaitwa Sanle Sory mtu wa Burkina Faso, alizaliwa 1943 ana miaka 81 sasa.
Ni mpigaji picha maarufu, mmiliki wa studio inaitwa Volta Photo Studio.
View attachment 2935369
Sawa kabisa.His name is Sanlé Sory a Burkinabe photographer.
As a teenager, he photographed automobile accidents around Bobo Dioulasso, Burkino Faso, which he would race to document on his motorcycle. In 1960 he founded the Volta Photo Studio in Bobo Dioulasso.