Picha: Wake wawili wawili:sheria ya serikali inasema nini na pesa za walipa kodi?

Kweli malaria sugu ana malaria ya kichwani.
Huu udini utaisha lini. Kila hoja inapewa sura ya udini.
Tuwe na namna ya kublock watu wenye sumu kama Malaria sugu.
Mimi ni mlipa kodi mzuri ninataka kujua kodi yangu inatumikaje halafu malaria inakupanda kichwani na kudai UDINI!!!!!
Waachie watu wachambue mada bila mtizamo hasi wa kuhasi mijadala.
 
Hivi kweli hakuna jibu ? Kwa mfano leo tunachagua kiongozi anawake 4, serikali itawagharamia vipi, kuwatambua vipi ? kwa hiyo hao wote watakua ma first ladies?? Ninachotaka kujua ni sheria ya gharama za serikal i(pesa za walipa kodi zinatumika vipi ?)

Kwa mfano King Mswati II wa Lesotho alikuwa na wake 70, lakini sheria zao zinaruhusu na wanajivunia mila na desturi zao. Hapa kwetu TZ vipi???
 
Jamani hiyo picha ya chini mbona makamba kama mgonjwa vile au macho yangu
2.jpg


Bi Zakia Bilal

asha%2B2.JPG


Bi Asha Bilal

9.jpg


3.JPG


02.jpg





Mhe Ali H Mwinyi tunajua alikuwa nao. Huyu VP naye naona ana wake wawili. Tetesi: kuwa JK naye ana wake wawili. Hivi sheria za serikali zinasema nini kuhusu kuwa gharamia hawa mabibi ?
 
We yaonekana enzi za mwinyi ulikimbia nchi nini??anyway pole sana
mwinyi alikuwa na wake wawili na walifurahishwa kila mtu kwa muda wake kutaka kuonyesha aliwamudu nenda mikocheni alivyowawekea bangalow 2 zinafwatana na wote wanakula haki zao so huyu bilal sio wa kwanza labda subiri ukisikia mmoja kalalama ajapewa haki yake hilo lilete tuongee huku
 
Mke mmoja na watoto wanne hii ndiyo sheria ya serikali!!
Hata ikiwa Sheria ya Serikali inaruhusu Mke Mmoja na watoto 4 , huyo Mke wa pili si kivyake huyo Makam wa Rais. Ingawa Serikali haimtambuwi huyo Mke wa pili sio mbaya Dini yake inamruhusu kuowa zaidi ya Mke Mmoja na Serikali haina Dini kwa hiyo Serikali itamtambuwa huyo mke wake wa Kwanza na hao Watoto wake 4 tu huyo Mke Wa Pili kivyake tu .
 
Sheria inaruhusu kuoa unavyotaka kwa mujibu wa maelewano, mwanamme anaweza kuoa mwanamke mmoja au zaidi, kutegemea na ndoa yake.

Kuna ndoa za aina tatu kiserikali.

Ndoa ya mume mmoja na mke mmoja.

Ndoa ya mume mmoja na wake wengi.

Ndoa ya mume mmoja na mke mmoja inayoweza kuongeza wake.

Kiserikali muheshimiwa anaweza hata kuongeza wake mia na kujaribu kumfikia Mfalme Suleiman bila matatizo.
 
Mke mmoja na watoto wanne hii ndiyo sheria ya serikali!!

Sheria ya mwaka gani na kifungu gani? Unaongelea suala la watu waliokuwa entitled to government support au unasema wafanyakazi wa serikali hawaruhusiwi kuoa mke zaidi ya mmoja na kuzaa watoto zaidi ya wanne ?
 
hata bima zetu za afya zinatambua mke mmoja!kwa mwenye uwezo wake 4 tosha!na tungeoa hivyo kusingekua na machangudoa mitaani.wanawake wote wangekua wamesitirika
 
kama unampenda mumeo utamuonea wivu bwana,hili swala la wakeze kukaa pamoja linanitatiza kidogo...aisee nisikujue kama unatembea na mume wangu,sitakuchekea!!!...kwanza marufuku kutembea na mume wangu....no sharing a husband eboh katafute wako huko..!! wanawake wengine wanafiki tu...
 
Back
Top Bottom