Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 32,427
- 34,247
Fikiria humo kwenye nyasi wakiwa wamejificha nyoka na mwanafunzi au walimu wanajisaidia usalama wao unakuwajeMwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ludeba, amesema Shule hiyo inakabiliwa na Changamoto ya kutokuwepo hata kwa tundu moja la Choo ambapo Wanafunzi wamekuwa wakijisaidia katika Choo cha Nyasi pamoja na wanafunzi wa kike kuwa watoro kwa Asilimia kubwa.