Picha, Vyoo vya Shule kule Chato, na bajeti ya Billion 500 V8 kila Mwaka

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ludeba, amesema Shule hiyo inakabiliwa na Changamoto ya kutokuwepo hata kwa tundu moja la Choo ambapo Wanafunzi wamekuwa wakijisaidia katika Choo cha Nyasi pamoja na wanafunzi wa kike kuwa watoro kwa Asilimia kubwa.
Fikiria humo kwenye nyasi wakiwa wamejificha nyoka na mwanafunzi au walimu wanajisaidia usalama wao unakuwaje
 
Hao watoto hawana wazazi? Hao wananchi ndio wapuuzi na wazembe. Kuchimba choo ni kazi ya serikali? Uzae mtoto wako hata kwenda kuchimba shimo na kuchangia gharama za ujenzi mpaka serikali kuu? Shida wasukuma ni washamba wamezoea kujisaidia vichakani hawaoni umuhimu wa vyoo. Kuna siku nilikuwa nasafiri kutoka Nzega kwenda Tabora. Basi lilikaa zaidi ya masaa mawili Nzega muda uliokuwa unatosha kwenda chooni na kufanya mambo mengine. Ila baada ya kuondoka na kufika kwenye pori flani hivi abiria walianza kupiga kelele kuwa wanataka kwenda chooni. Hao wamezoea kujisaidia porini ndio maana hawataki kujenga vyoo. Hiyo ni aibu ya jamii husika siyo serikali. Wajitolee nguvu zao na wachangie hata 1000 kila kaya uone km hivyo vyoo havitajengwa.

Mbona huku kwetu kijijini kila kaya huchangia zaidi ya elfu 40 kujenga madarasa? Sijawahi kusikia habari ya watoto kukaa chini. Kuna miti, kijiji hutoa miti, wananchi hujitolea nguvu zao na kuchangia pesa. Hizi jamii zingine wana nchi tofauti? Hovyo kabisa. Wale starehe na wake zao mpaka watoto wamezaliwa hata kujenga choo eti serikali? Ni aibu. Mleta mada acha siasa za majitaka, fanya siasa yenye akili.
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha juu kabisa
 
Akili huna wewe

Hizo zilizochimbwa na zinazotumika umechimba wewe?

Unafikiri kazi ya kodi zetu ni nini sasa?
 
Umeongea point sana. Choo kizuri cha kisasa kinaweza kujengwa kwa matofali ya matope. Lakini ili wazazi wafanye yote hayo wanahitaji kuhamasishwa. Na hiyo ni kazi ya mbunge, ofisa elimu, mkurugenzi nk. Wako wapi? Kwa nini hawajaona kuwa hili ni tatizo katika eneo lao? Ndio maana watu wanaishia kuilamu serikali ya CCM, kwamba haisimamii mambo ya maendeleo vizuri.
 
Tuliambiwa kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo kwa hiyo kama mbunge wa eneo hilo ni mpinzani nitaweza kuelewa lakini kama ni wa ccm basi ninaowalaumu sana ni jeshi letu kwa kukosa uzalendo kwa kushindwa kuwaondoa hawa mafisi madarakani ambao ndio chanzo cha madhila yote haya yanayoisibu hii nchi.

Kuwaondoa kwa vipande vya karatasi ni zoezi ambalo limekuwa gumu kwa kuzingatia ukweli kwamba waga hamna uchaguzi Tanzania.
 
Who Cares, unakuta kuna CHAWA toka chato anapush agenda za watawala, anashinda mitandaoni kupinga wanaotaka katiba namaendeleo ya nchi.
Tatizo hata wanaotaka katiba wameacha kutetea bandari wamekaa kimya kwa ghafla wenye akili tulishaelewa na ruzuku juu
 
Hata wewe pia una point, lakini point yake imebeba zaidi uhalisia... Tunafahamu fika jinsi gani haya mataifa yetu ya kiafrika miradi mbali ya kimaendeleo inavyokwamishwa na rushwa, uongozi mbovu, uzembe n.k.. hivyo basi njia pekee ya wanainchi kuondokana na kero ndogo ndogo kama hizi za vyoo, maji n.k ni wao wenyewe kujiorganize na kutumia nguvu zao kuzitatu kero hizo, wakisema waisubilie serikali ya CCM watasubiri sana....

Alichonikera ni kuishambulia jamii ya wasukuma kwa maneno ya kashifa na dharau mse.nge huyu, zote tunakuja hizo tabia sio wote wako nazo na alikadharika pia hata kwenye jamii zingine wapo watu wenye hiyo kasumba .. asichokielewa huyo mjinga ni kwamba hiyo kasumba inatokana hasa na mazingira mtu aliyokulia na ni rahisi kuikuta kwa mtu yeyote aliyekulia kwenye mazingira dunia hasa ya vijijini.
Wananchi wanafanya sana sehemu yao,ikiwemo kulipa kodi na tozo mbali mbali.tatizo lipo kwa serikali kwasababu inawaza mambo ya anasa zaidi badala ya vipaumbele vya wananchi.Sasa kama wananchi watakua pamoja na kulipa kodi bado wanachanga kila kitu uku serikali ikiwaza anasa inakua haina maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watoto hawana wazazi? Hao wananchi ndio wapuuzi na wazembe. Kuchimba choo ni kazi ya serikali? Uzae mtoto wako hata kwenda kuchimba shimo na kuchangia gharama za ujenzi mpaka serikali kuu? Shida wasukuma ni washamba wamezoea kujisaidia vichakani hawaoni umuhimu wa vyoo. Kuna siku nilikuwa nasafiri kutoka Nzega kwenda Tabora. Basi lilikaa zaidi ya masaa mawili Nzega muda uliokuwa unatosha kwenda chooni na kufanya mambo mengine. Ila baada ya kuondoka na kufika kwenye pori flani hivi abiria walianza kupiga kelele kuwa wanataka kwenda chooni. Hao wamezoea kujisaidia porini ndio maana hawataki kujenga vyoo. Hiyo ni aibu ya jamii husika siyo serikali. Wajitolee nguvu zao na wachangie hata 1000 kila kaya uone km hivyo vyoo havitajengwa.

Mbona huku kwetu kijijini kila kaya huchangia zaidi ya elfu 40 kujenga madarasa? Sijawahi kusikia habari ya watoto kukaa chini. Kuna miti, kijiji hutoa miti, wananchi hujitolea nguvu zao na kuchangia pesa. Hizi jamii zingine wana nchi tofauti? Hovyo kabisa. Wale starehe na wake zao mpaka watoto wamezaliwa hata kujenga choo eti serikali? Ni aibu. Mleta mada acha siasa za majitaka, fanya siasa yenye akili.
Utakuwa huna akili vizuri
 
Tatizo hata wanaotaka katiba wameacha kutetea bandari wamekaa kimya kwa ghafla wenye akili tulishaelewa na ruzuku juu
Kutetea kivipi?
Kesi zilifunguliwa na mahakama ikabariki uuzwaji?
Ulitaka wakafunge geti pale Bandarini?
Sheria ilishapita na Katoliki wakaitwa ikulu kwenye kusaini.
Sewe kwanini hukuungana nao kutetea bandari?
 
Hii nchi, bila kuja kuwatoa hawa CCM kwa nguvu hakuna kitakacho badilika, Hawa watawala wana dharau na viburi sana kwa raia.
Fikiria misafara yao ya V8 na angalua kinacho endelea kwa wananchi. na Makondo yuko busy kufanya hadaa jwa wapumbavu.

Wanafunzi 1500 katika Shule ya Msingi Ludeba iliyopo katika Kijiji cha Ludeba Kata ya Ipalamasa Halamashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita wanakabiliwa na Changamoto ya uwepo wa Vyoo vya Kisasa kwa wanafunzi pamoja na walimu katika Shule hiyo .

Akizungumzia Changamoto hiyo Daud William ambaye ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ludeba, amesema Shule hiyo inakabiliwa na Changamoto ya kutokuwepo hata kwa tundu moja la Choo ambapo Wanafunzi wamekuwa wakijisaidia katika Choo cha Nyasi pamoja na wanafunzi wa kike kuwa watoro kwa Asilimia kubwa.

“Baadhi ya Changamoto hizo ni upande wa Matundu ya Vyoo shule ya Msingi Ludeba ina Wanafunzi 1500 na haina hata tundu Moja la Choo watoto wa kike wanashindwa kupata huduma kwa urahisi kwa asilimia kubwa ni watoro na ukiangalia Mazingira waliyopo si Mazuri, “ Mwalimu Mkuu wa Shule ya Ludeba.

Aidha Mwalimu William amesema Shule hiyo ina Walimu 13 wanaokabiliwa na changamoto ya Nyumba za kuishi ambapo wamekuwa wakiishi Kilometa 5 kutoka Shule hiyo wanayofundisha huku akiiomba Serikali kunusuru Changamoto hiyo.

Changamoto hizo Zimeibuka Mara Baada ya Mkuu wa Wilaya ya Chato ,Mhandisi Deusdedith Katwale kufanya Ziara ya kutembelea Shule hiyo iliyoko katika kata Ipalamasa ambapo akizungumza na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kwa njia ya Simu amesema tayari kuna fedha zimetengwa kwa ajili ya kwenda kunusuru Maisha ya wanafunzi hao.

#KitengeUpdatesView attachment 2904554View attachment 2904556
Spika amwsema Bungeni wasizungumze agenda ya vyoo.....

Nchi yetu inaongozwa na watu wenye hulka ya kihuni
 
Hao watoto hawana wazazi? Hao wananchi ndio wapuuzi na wazembe. Kuchimba choo ni kazi ya serikali? Uzae mtoto wako hata kwenda kuchimba shimo na kuchangia gharama za ujenzi mpaka serikali kuu? Shida wasukuma ni washamba wamezoea kujisaidia vichakani hawaoni umuhimu wa vyoo. Kuna siku nilikuwa nasafiri kutoka Nzega kwenda Tabora. Basi lilikaa zaidi ya masaa mawili Nzega muda uliokuwa unatosha kwenda chooni na kufanya mambo mengine. Ila baada ya kuondoka na kufika kwenye pori flani hivi abiria walianza kupiga kelele kuwa wanataka kwenda chooni. Hao wamezoea kujisaidia porini ndio maana hawataki kujenga vyoo. Hiyo ni aibu ya jamii husika siyo serikali. Wajitolee nguvu zao na wachangie hata 1000 kila kaya uone km hivyo vyoo havitajengwa.

Mbona huku kwetu kijijini kila kaya huchangia zaidi ya elfu 40 kujenga madarasa? Sijawahi kusikia habari ya watoto kukaa chini. Kuna miti, kijiji hutoa miti, wananchi hujitolea nguvu zao na kuchangia pesa. Hizi jamii zingine wana nchi tofauti? Hovyo kabisa. Wale starehe na wake zao mpaka watoto wamezaliwa hata kujenga choo eti serikali? Ni aibu. Mleta mada acha siasa za majitaka, fanya siasa yenye akili.
Namuunga mkono asilimia mia moja. Ujamaa ndio chanzo cha nchi yetu kurudi nyuma. Unazaa watoto unataka serikali iwasomeshe hadi. Chuo na iwapatie kazi ya ofisini ? Yaani watanzania wanaishi kama wapo Ujerumani au nchi na Nordic ? Watoto ni jukumu lako kama mzazi sio jukumu la serikali.
 
Inasikitisha sana hii mpk unajikuta unasema angekuwepo Kamanda Jpm haya yote yasingetokea mungu alituonea sana kumchukua Jpm.
 
Back
Top Bottom