PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

sijawahi kuiona lakini huwa nashangaa kwanini huwa mnaandamana kakichorwa kale kakatuni ka kiarabu? Sijawahi kuona kikatuni cha muhamadi mweusi kama mndengereko! Ushaona weye?

mtume atabaki kuwa mtume tu, hakuna mtu kuigiza eti yeye ni mtume alafu majuha yananunua picha yanasema ndo masia woa wakati mzungu mjanja kakaa na kutengeneza picha ili aingize siku, waislam hatutakaa kimya pale mtume wetu anapozalilishwa, nyie nendeni kwa mmakonde achonge kinyago alafu mkiabudu,
 
Hebu kila mmoja atafakari kwa kipekee uharibifu huu alioufanya amepata faida gani.

Ni MUNGU yupi wanayemwabudu anayehitaji mahangaiko kwa watu wengine katika kumwabudu.

Ni MUNGU yupi mnayemwabudu aliyewaambia kulipa kisasi ndo njia sahihi ya kumwabudu?

Ni MUNGU yupi aliyewapa mamlaka ya kuhukumu kwa niaba yake?

Ni MUNGU yupi mnayemwamini na kumwabudu kuwa nyie mu wasafi hata kuhukumu wengine na nyie hamfanyi makosa?

Ni VITABU gani na mafundisho ya nani aliyewaambia kuharibu madhabahu ya wengine wanaomwomba MUNGU huyo huyo mnayemwabudu nyie kwa imani yenu mtabaki salama na imani yenu?

Maswali yanaweza kuwa mengi sana lakini wajitafakari kila mmoja alipo kwa upekee wake na amwombe MUNGU ili apate msamaha. Na huyo aliyehamasisha hayo yakatokea hakika hakika hayuko salama.

TUMWOMBEE WOTE KWA UJUMLA WETU MUNGU APATE KUMSAMEHE.

Maswali yako yananipeleka kwenye jibu kuwa kwa mujibu wa imani yetu, ni Shetani ndiye achocheaye hayo yote! Kwa hiyo wenzetu wanamwabudu stetani na tuna jukumu la kuwaombea ili wamgeukie Mungu wa UKWELI!
 
Wale waislamu wa JF leo wako wapi? Mohamed Mtoi si useme hata neno? kwa hili uislamu umevamiwa na magenge ya wahuni. Kiongozi hawezio tena sema. Hii ni gharama ya Madrassa. Wakristu mtusaidie kuibeba
 
Hili kanisa la waangilikana jamaa watakuwa wameona wivu maana
la kwao ni gofu ndo maana wakalichoma moto

Kweli kabisa mkuu...
Huwa najiuliza sana nikikatiza sehemu zenye misikiti. Hata kufyeka majani inakuwa ngumu.
 
Wakristo tunaamini kuwa vita vyetu si damu na nyama bali ni dhidi ni ya falme, mamlaka ya pepo wabaya katika ulimwengu wa Roho tu !!

tunasahau kuwa Mungu katupatia pia nguvu na akili ya kutambua mema na mabaya

Ni kweli Mungu katupa akili na nguvu na uelewa zaidi lakini Yesu alimuuliza Petro"unadhani baba angu ameshindwa kunipigania mpaka ukamkata mtu sikio"?Mungu hapiganiwi hivyo anapiganiwa kwa kuhakikisha The Heart is Freed from all evils and hatred,na huo ndo msingi wa Dini yetu isio mfano!
 
Ee Mungu nakushukuru kumpa ufunuo babu yangu kubadili dini kutoka Uislamu na kuwa Mkristu hata kuzaliwa mimi na ndugu zangu wote.

kwa kweli ndugu yangu hilo ni jambo la kumshukuru Mungu sana, unatakiwa uwaombee na ndugu wa baba yako watoke huko. Nao pia wanahitaji mwanga kama familia yako. huwa namshukuru Mungu kwa mama yangu kuwa mkristo, hatukuwaacha ndugu zake wapotee, tumewapelekea injili na nusu ya familia yao wamekuja kwenye nuru, na ninaamini Yesu wangu ataibadili familia yao yote tena kwa haraka.
 
yote tumwachie mungu kwani always anafanya kazi pasipo uwepo wa macho ya bidamu kuona mungu atawalipia wale wote pamoja na vizazi vyao kwa wale wote waliofanya ujinga huu maana ndivyo bible inavyosema. Ila jamani mi ngoja nikiri hawa wenzetu waisilamu wanaitaji msaada wa kielimu kwani nilibahatika kufanya zoezi la sensa kwenye sehemu za hawa watu wanaonerha hawajitambui wala hawana msimamo kwani wao kazi yao ni kufuata mkumbo ila nashukuru mungu kwa kutupa wakristo hekima, busara na uvumilivu. Kama masheikh wao wameshindwa kuwafundisha misingi bora ya uisilamu bc waanzishe boka haramu tz.
 
unajua hizi comments baadhi zinanichanganya juzi baada ya tukio na mtu alitoa ombi kwamba Raisi atoe tamko, sasa leo ametembelea na ametoa tamko bado lawama zipo pale pale, sasa labda nani anaweza akatoa tamko ambalo litamridhisha kila mtu?

kimsingi rais hatakiwa kutoa tamko anatakiwa kutenda,lakini porojo za kikwete si kila mtu alishazizoea? Angesema kutokana na uchochezi radio imani imefungiwa na wachochezi kadhaa kama Ponda wapo ndani wanasubiri kesi zao hilo ndilo tamko la rais, Zanzibar wamechoma makanisa nothing happened sasa wewe unamdefend huyu kwa lipi??this time they are in for it, upumbavu wa kuchoma makanisa na nyumba za ibada hatuwezi kuuvumilia hata kwa sekunde moja!
 
kwa kweli ndugu yangu hilo ni jambo la kumshukuru Mungu sana, unatakiwa uwaombee na ndugu wa baba yako watoke huko. Nao pia wanahitaji mwanga kama familia yako. huwa namshukuru Mungu kwa mama yangu kuwa mkristo, hatukuwaacha ndugu zake wapotee, tumewapelekea injili na nusu ya familia yao wamekuja kwenye nuru, na ninaamini Yesu wangu ataibadili familia yao yote tena kwa haraka.

uliwapelekea picha ya yule mzungu mnazareti ukawaambia kuwa ni mungu na wao wakakubali ?
 
Ni kweli Mungu katupa akili na nguvu na uelewa zaidi lakini Yesu alimuuliza Petro"unadhani baba angu ameshindwa kunipigania mpaka ukamkata mtu sikio"?Mungu hapiganiwi hivyo anapiganiwa kwa kuhakikisha The Heart is Freed from all evils and hatred,na huo ndo msingi wa Dini yetu isio mfano!

hivi unajihisifu kuwa una akili kwa kuamini mungu wako alipigwa ?
 
Polisi walishindwa vipi kumvunja mguu hata mhalifu mmoja kama waliweza kumuua Mwangosi ambaye hakuwa mhalifu?



Mwangosi alikuwa tishio kwa polisi/serikali hawa wahalifu ni chimbuko la CCM. Usikute walifanya uhalifu makusudi kwa kutumwa na vijana wa Kikwete ili naye Kikwete ajifanye anakemea uhalifu huu kisha aonekane kuwa anajali.
 
huu ni ufinyu wa elimu, kwa kitendo hiki imedhihilika kwamba wao waislamu hawana elimu dunia ni ujpuuzi tu



Acheni mambo ya waislam, mtajiua na presha kwani elimu kwao si mali kitu. Muislam anaona bora mwanae aende madrasat kuliko shule ili apate elimu itakayomfanya mwanae kuwa mshindani hapo baadaye. Wakristo wanasoma na kupata ma degree na kazi nzuri, then muislam yuleyule aliyemkataza mwanae asiende shule analalamika oh wakristo wanapeana kazi wenyewe kwa wenyewe. Sasa wewe mwanao hajasoma anajuwa Quran tu ya kukariri unataka awe meneja inawezekana kweli?
 
Hizo divai na ekaristi takatifu walikunywa na kula? kwa akili zao wamewakomoa wakiristo au mwenyezi MUNGU??

kwa mtindo huu,mahakama ya kadhi itakuwa vurugu tupu.Nyerere alijitahidi kutaifisha shule ili hawa jamaa wasome lakini bado hawajaelemika bora angewaacha na madrasa na elimu ahera yao.



Siku hizi wengi wao wamejikita kwenye bongo fleva. Waliona baada ya kumaliza juzuhu zote bila elimu ya maana, suluhisho la kupata kula na kulewa pamoja na kubwia unga kwa uhakika ni fleva tu.
 
Acheni mambo ya waislam, mtajiua na presha kwani elimu kwao si mali kitu. Muislam anaona bora mwanae aende madrasat kuliko shule ili apate elimu itakayomfanya mwanae kuwa mshindani hapo baadaye. Wakristo wanasoma na kupata ma degree na kazi nzuri, then muislam yuleyule aliyemkataza mwanae asiende shule analalamika oh wakristo wanapeana kazi wenyewe kwa wenyewe. Sasa wewe mwanao hajasoma anajuwa Quran tu ya kunakiri unataka awe meneja inawezekana kweli?
na wewe kusoma kote ndo akili yako imeishia hapo soma historia wacha kurukia mambo
 
hivi unajihisifu kuwa una akili kwa kuamini mungu wako alipigwa ?

kitabu chako bila kumtaja huyo unaemdhiki na kumpa heshima hakikamiliki. ndio maana mara mumuite issa eti na atimtabiria mtume wenu kuwa wa mwisho! kujikomba mwajikomba matusi mwarusha! mnaamini msichokijua.
 
Ndugu nimeomba picha,mboja unakimbilia kwengine?bythe way walitumwa na nani kuvunja,kama sio yule MKATOLIKI MVAA KIDANI?
 
na wewe kusoma kote ndo akili yako imeishia hapo soma historia wacha kurukia mambo



I'm living at present time, sina haja ya kusoma yaliyopita (history) kwani mifano hai si ipo hapa Tanzania? Fika Zanzibar, Lindi, Mtwara, Bagamoyo, Pwani, Tanga, na sehemu yeyote hapa Tanzania ambayo uislam umeshamiri utajionea mwenyewe. Wazazi wanapigania mpaka kufa watoto wao waende madrasat lakini si shuleni. Sasa hapa kuna haja ya kusoma historia? Kama wewe umesoma basi shukuru wazazi wako kwa kutilia mkazo elimu yako kwani waliona mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom