kumbuka is not Gold...
Napata taabu kidogo. Kwa nini? Namkumbuka Dr Walid Kabouru, David Kafulila na sasa Zitto Kabwe. Kabouru sasa ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Kafulila alifukuzwa Chadema na huko NCCR akaanza mbinu za kutaka kumfukuza Mwenyekiti wake, James Mbatia, NCCR ilikaa kidete akalazimika kulia huku amepiga magoti akiomba kusamehewa na alikiri usaliti. Sasa tunaye Zitto Kabwe, vivyo hivyo. Je, tunaweza kusema kwa sasa kwamba wenzetu hawa (wa Kigoma) hawaaminiki, vigeugeu na huenda ni majoho ya CCM???
Kuna pia RASHID HAMAD wa CUF... yeye pia ni Mbunge wa MAHAKAMANI
Napata taabu kidogo. Kwa nini? Namkumbuka Dr Walid Kabouru, David Kafulila na sasa Zitto Kabwe. Kabouru sasa ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Kafulila alifukuzwa Chadema na huko NCCR akaanza mbinu za kutaka kumfukuza Mwenyekiti wake, James Mbatia, NCCR ilikaa kidete akalazimika kulia huku amepiga magoti akiomba kusamehewa na alikiri usaliti. Sasa tunaye Zitto Kabwe, vivyo hivyo. Je, tunaweza kusema kwa sasa kwamba wenzetu hawa (wa Kigoma) hawaaminiki, vigeugeu na huenda ni majoho ya CCM???
Mi nilidhani kushinda kwa Zitto ingekuwa ni kuwa uanachama wake usijadiliwe na CC bali baraza kuu... Kumbe kuna kesi ya msingi tena?!!!
Wanatafuta Rais Mkigoma kwa pupa. Urais na umaarufu haviji kirahisi hivo kwa kutumika. Hata wanaokutumia ukiondoka wanakung'ong'a, wanakuona -----. Huyu jamaa atulie ajifunze kitu flan.Napata taabu kidogo. Kwa nini? Namkumbuka Dr Walid Kabouru, David Kafulila na sasabu Zitto Kabwe. Kabouru sasa ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Kafulila alifukuzwa Chadema na huko NCCR akaanza mbinu za kutaka kumfukuza Mwenyekiti wake, James Mbatia, NCCR ilikaa kidete akalazimika kulia huku amepiga magoti akiomba kusamehewa na alikiri usaliti. Sasa tunaye Zitto Kabwe, vivyo hivyo. Je, tunaweza kusema kwa sasa kwamba wenzetu hawa (wa Kigoma) hawaaminiki, vigeugeu na huenda ni majoho ya CCM???
CCM ni chama dumeTangu mwaka 1961 wewe ndo umeoina anguko la CDM tu ila la CCM lenyewe bado haulioni?.
,kweli duniani kuna mambo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Kabouru kwenye chaguzi za hivi karibuni alishindwa kushinda katika NGAZI yoyote ya UONGOZI ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI...
Kwa sasa ni Mwananchi wa Kawaida... Hana TITTLE zozote
Ha ha zitto alnasema aliingia akiw na miaa 16 nakupaa vyeo vyote aliyokuw navo weje aone hki haitendeki sasabada ya sndku kndu la mmilioni CCM chadea haifi lema maneno laini ndio ukweliPongezi ziwaendelee wale wote waliotumia muda wao kufika mahakamani na pia na wengine waliotumia muda wao kutoa support za maombi na emotions kuhakikisha kuwa safari ya kuipata demokrasia halisi ndani ya chama haifiki kikomo kabla haijakamilika.
Mapambano ndiyo yanaanza na tunatumaini kwa uweza wake Mungu, ushindi uko mbele ya macho yetu.
Lazima tuendelee kuheshimu sheria za nchi na tuidai haki kwa amani na mshikamano ndani na nje ya chama chetu.
A luta continua...
napata taabu kidogo. Kwa nini? Namkumbuka dr walid kabouru, david kafulila na sasa zitto kabwe. Kabouru sasa ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa kigoma, kafulila alifukuzwa chadema na huko nccr akaanza mbinu za kutaka kumfukuza mwenyekiti wake, james mbatia, nccr ilikaa kidete akalazimika kulia huku amepiga magoti akiomba kusamehewa na alikiri usaliti. Sasa tunaye zitto kabwe, vivyo hivyo. Je, tunaweza kusema kwa sasa kwamba wenzetu hawa (wa kigoma) hawaaminiki, vigeugeu na huenda ni majoho ya ccm???