Picha: Tundu Lissu akiwa Mahakamani pamoja na Zitto Kabwe, Zitto aishinda CHADEMA

Yaani wachumia tumbo CCM bwana, wanataka waje CHADEMA waweke Mwenyekiti wao ZZK. Angaikia chama chenu kwanza.
 
kumbuka is not Gold...

Napata taabu kidogo. Kwa nini? Namkumbuka Dr Walid Kabouru, David Kafulila na sasa Zitto Kabwe. Kabouru sasa ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Kafulila alifukuzwa Chadema na huko NCCR akaanza mbinu za kutaka kumfukuza Mwenyekiti wake, James Mbatia, NCCR ilikaa kidete akalazimika kulia huku amepiga magoti akiomba kusamehewa na alikiri usaliti. Sasa tunaye Zitto Kabwe, vivyo hivyo. Je, tunaweza kusema kwa sasa kwamba wenzetu hawa (wa Kigoma) hawaaminiki, vigeugeu na huenda ni majoho ya CCM???
 
Kuna pia RASHID HAMAD wa CUF... yeye pia ni Mbunge wa MAHAKAMANI
 
C.jpg

Huyu nani (kulia) anaelia?
 
Napata taabu kidogo. Kwa nini? Namkumbuka Dr Walid Kabouru, David Kafulila na sasa Zitto Kabwe. Kabouru sasa ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Kafulila alifukuzwa Chadema na huko NCCR akaanza mbinu za kutaka kumfukuza Mwenyekiti wake, James Mbatia, NCCR ilikaa kidete akalazimika kulia huku amepiga magoti akiomba kusamehewa na alikiri usaliti. Sasa tunaye Zitto Kabwe, vivyo hivyo. Je, tunaweza kusema kwa sasa kwamba wenzetu hawa (wa Kigoma) hawaaminiki, vigeugeu na huenda ni majoho ya CCM???

Kabouru kwenye chaguzi za hivi karibuni alishindwa kushinda katika NGAZI yoyote ya UONGOZI ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI...

Kwa sasa ni Mwananchi wa Kawaida... Hana TITTLE zozote
 
Kwenye picha hizo hapo wale wanaitwa wafuasi wa Zitto hawafanani kabisa na wafuasi wa CHADEMA
 
Napata taabu kidogo. Kwa nini? Namkumbuka Dr Walid Kabouru, David Kafulila na sasabu Zitto Kabwe. Kabouru sasa ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Kafulila alifukuzwa Chadema na huko NCCR akaanza mbinu za kutaka kumfukuza Mwenyekiti wake, James Mbatia, NCCR ilikaa kidete akalazimika kulia huku amepiga magoti akiomba kusamehewa na alikiri usaliti. Sasa tunaye Zitto Kabwe, vivyo hivyo. Je, tunaweza kusema kwa sasa kwamba wenzetu hawa (wa Kigoma) hawaaminiki, vigeugeu na huenda ni majoho ya CCM???
Wanatafuta Rais Mkigoma kwa pupa. Urais na umaarufu haviji kirahisi hivo kwa kutumika. Hata wanaokutumia ukiondoka wanakung'ong'a, wanakuona -----. Huyu jamaa atulie ajifunze kitu flan.
 
Jamani mwenye jibu la swali langu akinijibu ntashukuru sana.. Nimefikiria sana ila sipati jibu yani hao wanaomshabikia Zitto na hadi sasa wanamg'ang'ania ni kwa sababu gani? hakuomba msamaha wala statement yoyote ya kueleweka kwa hela alizokula ambazo ndizo zimepelekea huu mgogoro, siamini kama mtu analiona hilo but still anamuunga mkono, sisemi waliobaki wako safi, ila kuwaita waliobaki mafisadi huku yeye naye ni moja wao naona ka ujinga vile.. Siungi mkono mtu hata moja CDM, haya mambo walishindwa kuyacontain hadi yamelipuka..
The fall of CDM was coming, sasa watanzania wameshuhudia.. Toa washabiki wa zitto CDM sasa urais hachomoi mtu mwakani, ngoja tuone strategy ipi inafuata sasa ya kukitoa ccm.. once again another failure
 
Kabouru kwenye chaguzi za hivi karibuni alishindwa kushinda katika NGAZI yoyote ya UONGOZI ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI...

Kwa sasa ni Mwananchi wa Kawaida... Hana TITTLE zozote

Kama ujui ni bora kunyamaza!Kabouru ni mwenyekiti CCM mkoa wa Kigoma
 
Pongezi ziwaendelee wale wote waliotumia muda wao kufika mahakamani na pia na wengine waliotumia muda wao kutoa support za maombi na emotions kuhakikisha kuwa safari ya kuipata demokrasia halisi ndani ya chama haifiki kikomo kabla haijakamilika.

Mapambano ndiyo yanaanza na tunatumaini kwa uweza wake Mungu, ushindi uko mbele ya macho yetu.

Lazima tuendelee kuheshimu sheria za nchi na tuidai haki kwa amani na mshikamano ndani na nje ya chama chetu.

A luta continua...
Ha ha zitto alnasema aliingia akiw na miaa 16 nakupaa vyeo vyote aliyokuw navo weje aone hki haitendeki sasabada ya sndku kndu la mmilioni CCM chadea haifi lema maneno laini ndio ukweli
 
Hapana bhana,hii picha lisu wameshikana mikono ilipigwa kabla ya kuanza kwa kesi,tulikuwepo,nadhani utakuwa umechanganya kidogo,
 
Hukumu ya mahakama kuu ni sawa na panado ambayo hutuliza maumivu kwa muda tu baada ya hapo maumivu hurudia kama hapo mwanzo! Pole zitto! YUDA Iskariote alijinyonga baada ya kufanya kitendo cha kumsaliti YESU, wewe ulitakiwa kuomba msamha na siyo kujinyonga kwa njia ya mahakama. Tunajua mahakama zote nchini siyo huru zinaendeshwa na matamko ya serikali ya CCM. Sasa kama zitto anatumikia CCM il;I kuidhoofisha CHADEMA mlitegemea hukumu tofauti na hiyo? Narudia tena hukumu ya Zitto ni sawa na panado tu! maumivu yatarudi palepale baada ya muda!
 
napata taabu kidogo. Kwa nini? Namkumbuka dr walid kabouru, david kafulila na sasa zitto kabwe. Kabouru sasa ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa kigoma, kafulila alifukuzwa chadema na huko nccr akaanza mbinu za kutaka kumfukuza mwenyekiti wake, james mbatia, nccr ilikaa kidete akalazimika kulia huku amepiga magoti akiomba kusamehewa na alikiri usaliti. Sasa tunaye zitto kabwe, vivyo hivyo. Je, tunaweza kusema kwa sasa kwamba wenzetu hawa (wa kigoma) hawaaminiki, vigeugeu na huenda ni majoho ya ccm???

ni udongo wao.na nsanzu?na wale wabunge wengine wa nccr?ni watu hatari!INASEMEKANA M1 SASA HIVI MULTIBILLIONEA.
 
Back
Top Bottom