Picha - Tafakari kuhusu Mwangosi, Dr. Slaa - Mwandosya

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
0.jpg
1.jpg

Picha zinatoa taswira ya tukio, picha zinaibua fikra nyingi, picha zinakumbusha tukio na hatimaye katika picha tunaweza kusoma mengi ikiwemo mazingira, mazingara, mwonekano, mtazamo, nyuso za watu, taswira ya kilicho ndani ya mtu kinavyoweza kuonekana nje huwa si vigumu kufichika na kusomeka.
 
Hapo uyo mke wa mwandosya anajisemea moyoni "jamani huyu baba atamuua mme wangu kwa pressure hapo 2015".

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mimi nimempenda huyo jamaa mwenye koti la blue aliyesimama nyuma ya Dr. Nimeambiwa na chanzo cha kuaminika kuwa alikuwa Korea na Russia kwa miaka 23 akiwa kwenye Secret Services na Military training. Jamaa ni bodyguard wa Dr. Ulizieni habari zake huyo kamanda..
 
aisee......natamani sana kuijua cv huyu bodyguard wa Dr Slaa,maana huo ni zaidi ya mgodi wowote wenye thamani lazima ulinzi uwe ......................makini sana
 
hiyo picha ya mwangosi inamwonesha akiwa katika tafakuri nzito sana,nikama anasema havi mwisho wa safari yangu utakuwaje na hivi ninavyowindwa.slaa anamwanbia mwandosya haya ndio madhara ya kupata madaraka kwa hila na wewe bahati yako wangekuua kama sio uchawi wa kwenu ila mimi ni mti mkavu.
 
0.jpg
1.jpg

Picha zinatoa taswira ya tukio, picha zinaibua fikra nyingi, picha zinakumbusha tukio na hatimaye katika picha tunaweza kusoma mengi ikiwemo mazingira, mazingara, mwonekano, mtazamo, nyuso za watu, taswira ya kilicho ndani ya mtu kinavyoweza kuonekana nje huwa si vigumu kufichika na kusomeka.
ina maana slaa ana bodyguard wa hadhi ya juu kama wa ****** sasa nimejua ndio maana huyu babu anawasumbua sana ccmagamba.
 
Back
Top Bottom