Picha; Sitisho la Mikutano ya siasa kwa ajili ya Sensa na yaliyojiri Nyololo na Bububu!!!!

Mkuu tofautisha kati ya maandamano na miktano ya kawaida!

Jamani, wakati mwingine muwe na ubinadamu, au basi mumuogope hata Mungu.
Hafu nyie ndo mnaojifanya mnashinda kwenye nyumba za ibada na kutoa sadaka kubwa.
Hivi chadema waliandamana?
Hata huo uzinduzi wenu Nina mashaka Kama hamkuandamana.
But what goes around comes around, time will come.
 
Tangulin bata akanya? kunya anakunya kuku tu! bata ni KUARA tu..ipo siku tutafika kwenye nchi ya ahadi nchi yenye maziwa na ASALI na ASALI yenyewe itakuwa ya nyuki wadogo.kiwango cha ukatili katika nchi yetu kinatisha na sijui viongozi wetu wanatufundisha nini sisi tunao ongozwa?
 
Picha hizi mbili zote ni matukio yaliyojiri tar 2.9.12. Wakati yanatokea Serikali ilikuwa imetoa wito wa kusitisha mikutano ya siasa kwa ajili ya shughuli ya sensa, sasa walikuwa wanamaanisha CCM hawahusiki nalo? Mbona hao polisi hawakusambaratisha mkutano huo? CDM walikuwa wanafungua matawi wakati CCM walikuwa wanafanya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi.

12.jpg
Nashindwa kuongea au kutukana,
Hivi CCM wanazani tutakuwa wajinga mpaka lini?
wananchi tuamke
tuseme tumechoka
 
Kitu kibaya kilichopo serikalini ni kuwa hatuna kiongoz wa kutatua, kukemea, kuwajibisha viongoz waliochin yake n.k..!! Na kitu kingine ni kwa Chama tawala kupoteza mwelekeo kwa kuwa na makundi makundi na kila kundi linajitahid kuliangusha kundi nyingine kwa matukio kama haya ya polis kutumiwa vibaya tena kisiasa..!!
Vita hii ni ngumu kwasababu adui hajulikan, ingawa vitu vingi wanasingiziwa Chadema lakin ukichunguza kwa tukio kama hili utaona ni vita ya makundi ya CCM..!!
 
Picha hizi mbili zote ni matukio yaliyojiri tar 2.9.12. Wakati yanatokea Serikali ilikuwa imetoa wito wa kusitisha mikutano ya siasa kwa ajili ya shughuli ya sensa, sasa walikuwa wanamaanisha CCM hawahusiki nalo? Mbona hao polisi hawakusambaratisha mkutano huo? CDM walikuwa wanafungua matawi wakati CCM walikuwa wanafanya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi.

http://2.bp.blogspot.com/-kcSS1y8_qbk/UESOmaz6JdI/AAAAAAABtQQ/Cr2-z8qii_s/s1600/966099517.JPG

Kwa sababu ni POLICCM
 
Hizi hasira kama tungezionyesha kwa vitendo hakika mabadiliko yangeonekana. Watu walijaa sumu kwa dr. olimboka, ikaisha sasa kwa mwanahabar daud, keshokutwa cjui kwa nani vile... NAICHUKIA CCM NA SERIKALI YAKE
 
Naunga hoja mkono kwa 100%

UOTE=Zipuwawa;4563900]Polisi sasa wavae nguo za CCM tu[/QUOTE]
 
kweli nimeamini kuwa binadamnu tuna tofautiana sana uwezo wa kuelewa mambo. WEWE NI CHIZI KWELIKWELI. Nchimbi mwenyewe kilaza, alipoulizwa kuhusu hilo swali la kwa nini CHADEMA wazuiliwe wakati ccm na upuuzi wa FIESTA zimeruhusiwa, akasema eti akaulizwe msajili wa vyama vya siasa ndo analo jibu. HIVI KWELI CCM KUMBE IMEJAA VILAZA WA KUTUPWA NAMNA HII??? SASA SISHANGAI KWA NINI PAMOJA NA UTAJIRI WA NCHI, BADO SIE NI MASIKINI. KAMA TUNAONGOZWA NA WATU WAZEMBE WA KUFIKIRI NAMNA HII, NI LINI WATABUNI MBINU ZA KUTUNASUA KWENYE HILI LINDI LA UMASIKINI??? WANATENGENEZA MATATIZO HALAFU WANAANZA KURUSHIANA MPIRA NANI AJIBU. HALAFU SIKUWAHI KUFIKIRI KAMA NCHIMBI NAE NI KILAZA NAMNA HII, JAMAA NI JINGA LA KUTUPWA!!!!!


Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.

Kwani msajili wa vyama vya siasa ndie anayeruhusu ama kuzuia mikutano ya vyama vya siasa? huyu halafu tunamwita Waziri? Ila simlaumu, namlaumu aliyeona kuwa anafaa kuongoza nchi yetu. Yaani ni zaidi ya kilaza
 
Back
Top Bottom