PICHA: Mbowe na Sugu ndani ya Washington; leo kinanuka!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
_DSC1247.JPG
Mbunge wa Mbeya Mjini(CHADEMA) Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Mr. II(wa pili Kushoto)akiwa na Uongozi Mzima wa Tawi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema DMV kwaajili ya mapokezi.
_DSC1303.JPG
Mbunge wa Hai, na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe(kushoto)akiwa na Mwenyekiti wa Wanawake CHADEMA Maryam Khamis wapili kulia na Katibu wa wanawake Baybe Leila, wa kwanza kushoto wakiwa katika mapokezi ya kumpokea mgeni rasm wa mkutano wa Jumamosi Mh. Freeman Mbowe.
_DSC1320.JPG
Mbunge wa Hai, na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe(Wa nne Kulia) pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini(CHADEMA)Mhe. Joseph Mbilinyi(wa tatu kushoto) wakiwa na wa Chadema DMV
_DSC1277.JPG
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Freeman Mbowe akiwa na baadhi ya viongozi wa Tawi la Chadema DMV aliopowasili siku ya Ijumaa Aug 31, 2012, kwenye uwanja wa kimataifa Dulles Airport, kwaajili ya mkutano utakaofanyika Siku ya Jumamosi Spet 1,2012.

Mkutana huo utaaza rasmi mida ya saa 4:pM (Kumi za Jioni) Wageni rasmi wamkutano huo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe Joseph Mbilinyi ADDR. Addr: 9670 Baltimore Ave. College Park. MD 20740
_DSC1344.JPG
Katibu wa Tawi la Chadema DMV akiwa na Mwenyekiti wake Cosmas Wambura, katika mpango mzima wa M4C.
_DSC1341.JPG
Baada ya mapokezi Katibu wa Tawi la Chadema DMV Mhe. Isdori Lyamuya akiongea mpango mzima wa mkutano utakaofanyika Jumamosi Sept 1, 2012 kwenye ukumbi wa Marriott Hotel Addr: 9670 Baltimore Ave. College Park. MD 20740.Picha Zote na CHADEMA

KAMA IMEKUUMA "GO & EAT A COKE"
 
wakati ccm wanakusanywa na daimond pamoja na nyamachoma na bia, Chadema wao wanakusanyika kwa gharama zao wenyewe.
Songa mbele makamanda Mbowe na Sugu katika harakati hizi za kuwaunganisha watanzania walioko nje ya nchi na wale walioko nyumbani ili kwa uhakika tuweze kufanikisha ukombozi wa mtanzania.
 
Nimeipenda hii sana Kamanda wangu Mwita Maranya na nakwambia hawa mafisadi lazima wajisalimishe wenyewe mbele ya NGUVU ya UMMA.
Na hakuna kulala ni mpaka kieleweke 2015.
Hakuna lisilowezekana wajamen!

wakati ccm wanakusanywa na daimond pamoja na nyamachoma na bia, Chadema wao wanakusanyika kwa gharama zao wenyewe.
Songa mbele makamanda Mbowe na Sugu katika harakati hizi za kuwaunganisha watanzania walioko nje ya nchi na wale walioko nyumbani ili kwa uhakika tuweze kufanikisha ukombozi wa mtanzania.
 
mkiwa mnawachagua viongozi wa vyama huko ulaya hua mnaangalia ukaaji wao huko ukoje au haijalishi? maana kuna wengine hapo wamejilipua kama waburundi sasa sijui hapo inakuaje
 
mkiwa mnawachagua viongozi wa vyama huko ulaya hua mnaangalia ukaaji wao huko ukoje au haijalishi? maana kuna wengine hapo wamejilipua kama waburundi sasa sijui hapo inakuaje

MAvazi yasikutishe kaka, kwani hujui watanzania bado hatuna vazi rasmi, kwahiyo ruksaaaaa kujilipua uwezavyo, ki-zenji, ki-omani, ki-scotch, ki-hindi, ruksaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! hata mavazi yetu mzaha mzaha tuu.

Serikali legelege, inji legelege mavazi legelege. Tafakari..................chukua hatua.............Vua gamba........vaa uzalendo.
 
siamini kama chadema inaweza kushinda 2015 kwa kusafiri sana ughaibuni na kufungua matawi,lakini naamini kama tukiweza kutumia muda mwingi kutembea sehemu zote tanzania na kufungua matawi hata kama hatutasafiri nje tutashinda,ni wazo tu wakuu
 
Ikulu ile paleeeeeeeee 2015. Viva Chadema Viva!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbowe kaenda kununua vyombo vya disco lake kambeba Sugu kutest mic
 
Mi siamin kama kufungua taiw abroad (kwa chama chochote) kama kuna tija,,,,,kuna watu wapo nangurukuru huko wanahitaj kuwatambua
unless meanz za kujipatia posho kwa viongoz wa vyama(hasa CCM NA CHADEMA) AMBAO HUPENDA KWENDA NJE
 
siamini kama chadema inaweza kushinda 2015 kwa kusafiri sana ughaibuni na kufungua matawi,lakini naamini kama tukiweza kutumia muda mwingi kutembea sehemu zote tanzania na kufungua matawi hata kama hatutasafiri nje tutashinda,ni wazo tu wakuu
Ndio maana kuna M4C inayoendelea Iringa.
 
siamini kama chadema inaweza kushinda 2015 kwa kusafiri sana ughaibuni na kufungua matawi,lakini naamini kama tukiweza kutumia muda mwingi kutembea sehemu zote tanzania na kufungua matawi hata kama hatutasafiri nje tutashinda,ni wazo tu wakuu

Ndo M4C inachofanya kaka. Au huoni hizo juhudi??? Must be blind!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom