Nyumba Nafuuu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 387
- 396
Picha hizi nimetengeneza kwa Teknolojia ya Akili Bandia (AI), just ku visualise namna ambavyo hawa watu maarufu kama machifu walivyo onekana kiuhalisia
==> Kama wewe, familia au taasisi yenu mna picha mnazotaka kuziboresha au kuona imagination yake angekuwaje, basi karibuni
-- personal usage
1. Chifu Mkwawa - Kabila la Wahehe
2. Mtemi Mirambo - Kabila la Wanyamwezi
3. Chifu Mangungo - Usagara, Msowero
4. Mangi Meli - Chief of Moshi
5. Kikanga - Ntemi of Bukumbi Chiefdom, c. 1900 (One of Sukuma Chiefdom)
6. Siti binti Saad - Mmoja wa Pioneers wa Taarab Music aliyeishi Zanzibar (c.1880– August 1950)
- kumbukumbu AI ipo very probably, hivyo inaweza kosea kuleta uhalisia
- AI ipo biased based na data zilizotumika kuifundisha, sasa sababu ya model nyingi za AI ni zimejazwa tamaduni za wengine, kwa hiyo inaweza usilete uhalisia sana wa walivyo Kuwa
- Ubora wa picha unaweza tegemea na ubora wa mtumiaji wa AI
- usitumie picha hizi kama conclusion walivyokuwa, bali this is just only artistic imagination ya ambayo walivyokuwa based na small data available
==> Kama wewe, familia au taasisi yenu mna picha mnazotaka kuziboresha au kuona imagination yake angekuwaje, basi karibuni
- WhatsApp/call +255-657-685-268
- Tuna leseni mbili