Picha rasmi kutoka ikulu:rais jakaya kikwete alipotembelea maktaba ya rais mstaafu wa marekani georg

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,126
b1.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) sehemu ambayo imejengwa kwa mfano wa Ikulu ya Marekani, White House, hususan katika bustani ya Waziri (Rose Garden) pamoja na ofisi ya Rais wa Marekani, Oval office
b2.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea
na kujionea vitu mbalimbali ambavyo Rais mstaafu George W. Bush alipewa
kama zawadi kutoka Tanzania ambavyo vimehifadhiwa katika Maktaba ya Kiraisya Rais Bush (Bush Presidential Library)

b3.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea na kujionea vitu mbalimbali ambavyo Rais mstaafu George W. Bush alipewa kama zawadi kutoka Tanzania ambavyo vimehifadhiwa katika Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library)
b4.jpg

*b3, b4, b5: *Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea na kujionea vitu mbalimbali ambavyo Rais mstaafu George W. Bush alipewa kama zawadi kutoka Tanzania ambavyo vimehifadhiwa katika Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (*Bush Presidential Library) *
b5.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea na kujionea vitu mbalimbali ambavyo Rais mstaafu George W. Bush alipewa kama zawadi kutoka Tanzania ambavyo vimehifadhiwa katika Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library)
 
Maktaba za mwinyi, mkapa, nyerere zipo wapi??

Bush kaweka kumbukumbu ya ziara zake, huyu mwenzetu je
 
vimetoka tz tena kwa kumpa zawadi kisha wanavishangaa...vilitolewa bila yeye kujua?aaagh
 
Mzee wa safar huyo,naskia tangu utotoni alikuwa hakai nyumbani
Nilitegemea mumshangae huyo aliyeamua kutoa picha hizo hadharani! Lakini, ohhh! nilikuwa nimesahau. Huenda ni huyo huyo aliyetuwekea picha ya mkuu na mamsap wakibembea kule visiwa vya Carribean. Mkuu anajua kuchagua wasaidizi wenye busara na maarifa.:A S 11:
 
Hivi hizi safari za binafsi,kichama au kiserekali?Usishangae ukakuta picha ya beach ya florida na akina Le bron James?
 
Back
Top Bottom