Picha: Obama akifanya mambo ya utani ikulu

Duh! Unaanzisha uzi kwa kumtaja Obama, unamalizia kwa kumtaja Trump! Hivyo ndivyo tulivyo Watanzania...kiwango cha uelewa wetu ndiko ulikofikia. Imefikia pahala Nyerere analinganishwa na Magufuli...so so sad!
Lazima atajwe obama na Trump maana hakukuwa na namna, msioona mbali mahaba yaliwapeleka kwa hilary
 
1481118499385.png
kwangu hii ni mojawapo ya picha bora zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom