britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Watu wengi watammisi huyu mzee Ikulu,
Nadhan Donal Trump naye atafanya yake
View attachment 401650View attachment 401651View attachment 401652View attachment 401653View attachment 401654View attachment 401655View attachment 401656View attachment 401657View attachment 401658
Watu wengi watammisi huyu mzee Ikulu,
Nadhan Donal Trump naye atafanya yake
Huyo lazima apite maana hilaly anapatwa na juaKwa
Kwani trump ameshachaguliwa kuwa rais wa marekani???
Za kwetu zipiNingependa nije nione na za kwetu awamu hii. Lol
Za rais wa tz ikulu!Za kwetu zipi
Ninazo ntazitupia baadaeZa rais wa tz ikulu!
Sisi tulimaliza kwenye pushups majukwaani wakati wa kampeni! Ikulu ni kazi tu mkuu hakuna drama.Ningependa nije nione na za kwetu awamu hii. Lol
Kwani ukisema PUSH DOWN utaitwa mchochezi mkuu?Ninazo ntazitupia baadae
Aisee kweli eeeeMbona hata magufuli hufanya hivo tu
hillary anaumwaKwa
Kwani trump ameshachaguliwa kuwa rais wa marekani???