USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,667
Baada ya serkali ya Kenya kupigwa mahakamani na Somalia kwenye mgogoro wa eneo la bahari kuu mjadala sasa ni kuishauri serikali ya uhuru kuligombania eneo la mpaka wake na Tanzania.
Mijadala mikubwa tangu jana kwenye media za kenya ni juu ya taifa hilo kuwa limebanwa kijiografia katika eneo la pwani ambalo linautajili mkubwa wa mafuta, Wakenya wanailamu serikali yao kuwa legevu na kuliachia eneo hilo na lile la kisiwa cha migingo katika ziwa Victoria walichogombania na Uganda.
Wanasema eneo lao na eneo kubwa kiasi cha kushangaza huku wao wakiwa hawana eneo zaidi ya kiushoroba tu ,ambapo hivi majuzi kenya iliijiondoa katika mahakama ya ICJ katika kesi ya mzozo wake na Somalia baada ya kukosa hoja ,mzozo huu uliodumu kwa miaka mingi na kusababisha ugomvi wa kidiplomasia na kuziunganisha jamii za kisomali kupigania ardhi yao.
Pitia mjadiliano na ramani ambapo.