Picha na maelezo: Kikao cha Marafiki Wa Regia BC

Picha zaidi:

attachment.php



attachment.php



attachment.php



attachment.php
 

Attachments

  • DSC03093.jpg
    DSC03093.jpg
    34.6 KB · Views: 404
  • DSC03092.jpg
    DSC03092.jpg
    28.9 KB · Views: 404
  • DSC03090.jpg
    DSC03090.jpg
    29.5 KB · Views: 411
  • DSC03094.jpg
    DSC03094.jpg
    26.8 KB · Views: 429
Kweli kwa michango ya watu hap JF ndio kioo cha watanzania tulivyo .
Kuna wengine wao wamejikita kuchambua physical appearence za watu . Sishangai kumbe ndio maana hata kwenye siasa tunachagua so called handsome tukdhani watakuwa na mawazo na maamuzi ya kujenga nchi yanayofanana na muonekano wao unafurahisha.
 
Kwi kwi kwi, mkuu naona ushatia timu. Kama nimekuona vile kwenye picha vikaoni hapo juu.
Dah! Ningekuwepo hapo hao wana magandwa wangeniacha?
But all in all ilikuwa nihudhurie, sema mambo yakabana. Next meeting nitajitahidi nihudhurie.
 
Kwa hizi kashfa zinazoendelea humu juu ya muonekano ya wana JF waliojitoa kujitokeza siku hiyo, nafikiri kama kutakuwa na tukio lingine wengi wetu tutasita kujitokeza. Kumbe nilifanya vema kutokuja.
 
Dah! Ningekuwepo hapo hao wana magandwa wangeniacha?
But all in all ilikuwa nihudhurie, sema mambo yakabana. Next meeting nitajitahidi nihudhurie.
Lol!Huwezi kutokea kwasababu wewe ni mwana JF uliyejiunga kupingana na wana JF flani flani, so ungeenda pale kila mtu angekufahamu tu lol!

Mfano January Makamba kama ni mwana JF, halafu akatokea pale utaacha kujua? Ama Nape?lol
 
Magwanda siku zote ni matumizi ya nguvu ya hoja tu, hayo mengine ni mpaka tusikie kwamba Mwigulu Nchema yuko maeneo.
 
kuanzia leo nikikutana na post yoyote ya lizzy na i like

unafikir mpwaaa zile thread zake mfululizo nilikuwa nimedamka tu loh
nilimwona kwenye ulimwengu wa kirohoooo sema kila nikitoa macho namwona ana gamba la nje huku letu la kijani na ngao yetu limechanwa chanwa nikakosaa amani kwelii kumbe kwelii banaaa anyway likes atozikosa popote alipo
 
hhahahahaaaaa!!!!
Mtsimbe bana..........Will be there next time!!
pamoja.
 
attachment.php


Lizzy? More pics please...

Nipe address na stamp nikutumia album nzima.



lizzy nilikuwepo dada yangu sema majukumu ya wifiyo ndio yaliniharakisha kuondoka mapema..niko nyuma ya mwanyika-hon...teehetteehh..nilikuona live kwenye mambo yetu nikafurahii sana maana nilikuwa najua utakuja nikasema atakaekaa karibu namimi binti yoyote ntadondosha coins akiivalia njuga wala siulizi najua
dadayangu ...nilipokuona kulee duhh nkasema basi tena!!

Haya punguza basi kuchambua watu wengine. Alafu siku nyingine na wewe hudhuria ili na wewe uchambuliwe.


kuanzia leo nikikutana na post yoyote ya lizzy na i LIKE

Hahahaha. . . haya bana ngoja nisubirie LIKE za bure.


Duh! Kumbe wana JF ndio walivyo?

Watu bana. . . potezea tu!!Wangejua ukweli wangekosa la kusema.
 
kweli kwa michango ya watu hap jf ndio kioo cha watanzania tulivyo .
Kuna wengine wao wamejikita kuchambua physical appearence za watu . Sishangai kumbe ndio maana hata kwenye siasa tunachagua so called handsome tukdhani watakuwa na mawazo na maamuzi ya kujenga nchi yanayofanana na muonekano wao unafurahisha.

teeehhhettehhhhh umeooonaaaa eeehhh mwisho wa siku unakuja mwenyewe uwanja wa taifa kushangilia bendera ya tanganyika ikiongozwa na ma handsomes hao awakwepeki mpwa hata dada zetu wanaona live kama vipi kamata ile """carollite""na we tukuite

napita tu mpwa
 
Back
Top Bottom