PICHA: Mwigulu Nchemba alipowasili Mbeya

Uso wake tu unaona amekaa kinjaa njaa tu,kinafiki nafiki tu.Tupo kwenye kumbi za film,hakuna movie yeyote hadi leo.Tunasubiri movie tengeneza hata haraka haraka wewe Gamba.
 
aisee jamaa anachekesha sana atakuwa anasafirisha unga sio siri, sultan sio sultan, alwatan sio alwatan yaan poor design ya mavazi inabidi mke wake amsaidie aiseee, madevu kama kichaka cha mbeya
 
Naona "kajipamba" kama jeneza.......laces siku hizi hutumika sana kwenye majeneza

mw2.jpg

 
Mwigulu jamani!!!!!!!!!! Mi naona ungepumzika tu maana kwa kweli hukubaliki na jamii ya watanzania labda wajinga kama wewe. Nyoa ndevu hizo basi hata kama upo busy
 
Naona "kajipamba" kama jeneza.......laces siku hizi hutumika sana kwenye majeneza

mw2.jpg


muogope MUNGU. tofauti za kisiasa zisitufikishe huku. tumia ubongo kufikiri. sijapenda comments zako za kijiweni. jenga hoja. behave like a great thinker. matusi hapa mwiko
 
ha haaa, nimelipenda Gwanda na Nchemba.....
kumbe na Magamba na yenyewe yanatamani kuvaa Magwanda!
 
Dah, kweli hiki chama hakina mwenyewe, kila mtu anatoka kwa style anayoona inafaa.

Wasiwasi wangu ni pale ile label nyekundu itavoanza kukua, hivi toka lini CCM wameanza kuweka nyekundu?
 
Mkuu KIBANGA ampiga mkoloni,huyu Naibu Katibu Mkuu wangu amebadilika sana.Hizi ndevu zisizo na maana lazima zitakuwa zinaathiri utendaji wake tu. Zimekaa kivivu,kikatili na kutojali.

mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika kama ulivo andika wewe...ujumbe wa leticia nyerere umekupata vilivyo
 
muogope MUNGU. tofauti za kisiasa zisitufikishe huku. tumia ubongo kufikiri. sijapenda comments zako za kijiweni. jenga hoja. behave like a great thinker. matusi hapa mwiko

Nimetukana wapi na nimwogope Mungu yupi? Una hakika kuwa situmii ubongo?
 
Back
Top Bottom