Picha: Mwanza yetu jiji la dhahabu hii ndiyo hali halisi kwa barabara za ndani Kilimahewa

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

HII NDIYO HALI HALISI KWA BARABARA ZA NDANI KILIMAHEWA

Wakati mkandarasi aliyepewa tenda na halmashauri ya jiji la Mwanza akiendelea na ujenzi wa daraja la Big Bite Kilimahewa na ukarabati wa njia mbadala kwaajili ya kuunganisha eneo hilo na barabara ya kuelekea Nyasaka na maeneo mengine ukiendelea...hali ni tete kwa barabara nyingi zilizo ndani ya mji huo.

Mifereji ipitishayo maji yatiririkayo ni midogo na mingi imeziba hivyo maji yanakatiza katikati ya barabara na kuharibu miundo mbinu.

Katika maeneo mengine maji yamatengeneza madimbwi makubwa katikati ya barabara.

Ni kama hakuna barabara vile....

Barabara zinapogeuka kuwa....

Wenye nyumba zao maeneo haya na kuta za nyumba zao....

Mbele ya shule ya chekechea...

Yahitaji mahesabu wakati wa kuvuta hatua...

Mbele ya mjengo

Mbele ya maduka.... kwenye barabara hizi zenye kilio cha miaka nenda rudi..
 
Mwanangu Nguu007
Onyesha na upande wa pili maana hakuna hadithi yenye upande mmoja. Mwanza haiwezi kuwa chepechepe yote. Una hoja lakini approach yako itaiharibu hoja yako. You are but biased na hii ni mbaya katika kuleta habari. Leta picha zaidi ya upande wa pili tutakuchangia ufurahi. Bila kufanya hivyo tutakuudhi kwani unatuudhi pia.
 
Vipi niko BIAS?
 
Its true, your observation is very right mkuu. There are such good places in Mwanza, mleta mada ilibidi aonyeshe pande zote mbili. Maeneo ya city centre, capripoint hata Isamillo pako classic sana, show the world both sides of the city.
 
Sogelea sogelea na mitaa yetu huko bugarika!! Hiyo mitaa itakuwa kirumba na kilimahewa
 
Hiyo ni barabara moja tu, tupe nyingine tuone hali halisi ilivyo badala ya kutoa conclusion kwa picha za barabara moja.

Zinakuja TARATIBU... Inaonyesha ni LAZIMA tu Ukiamka ASUBUHI kuosha USO na KUPENDEZESHA MENO

Na Haujui KWANINI MDOMO BADO UNANUKA; SIRI ni KUSAFISHA IPASAVYO HUO ULIMI... Sasa Serikali ya CCM

Inapendezesha MWALI NJE inasahau NDANI..

Kilimahewa zamani kulikuwa ndio KUNA OFISI za EAST AFRICAN MEDICAL RESEARCH...
 
Your info is biased and you are bias. Nadhani wengine wameishachangia kuhusiana na hili mwanangu Nguu007
 
Its true, your observation is very right mkuu. There are such good places in Mwanza, mleta mada ilibidi aonyeshe pande zote mbili. Maeneo ya city centre, capripoint hata Isamillo pako classic sana, show the world both sides of the city.Father of All

Sasa kama ni HIVYO ina MAANA mtu akifika NY akae tu MANHATTAN? asitembelee BOROUGH zake kama BRONX; QUEENS na BROOKLYN?

Na Unajua hayo sio Maendeleo ya NCHI BASI; Mnajua KILIMAHEWA kulikuwa na OFISI za EA MEDICAL RESEARCH

MaDocta Mabingwa kama NKULILA; EYAKUZE walikuwa wanafanya kazi huko na wengi tuuuu....
 
Nguu007
The issue hither is not live or otherwise picture but lack of the other side of the coin. If your aim is to show evil side of Mza, it will make more sense to show the good side so that readers can decide by themselves. Methinks this will make you a bit egdier than gullible.
 
That's we call it KISS and MAKE UP; I believe in myselfand my own Voice, because there will be times only one who fight for CHANGE;Ok, I might risk it because I don't sugar coated anything...

Let them see the other side of the coin...
 
Nguu007, if all media would work following your modus operandi, no news would be disseminated. Again, you need to be changed bofore you change others if at all this is the very way you analyze things. I am afraid, forcing me to understand you where you are not does not do you good.
 
Mkuu kweli kabisa nashindwa kuona tatizo lipo wapi..., angalia heading inaelezea hali halisi ya barabara za ndani Kilimahewa Mwanza..., (ambapo nimesikia hili ni tatizo kubwa hadi magari yaligoma kwenda..)

Sasa wewe unangangania aoneshe sehemu ambazo hazina tatizo what for ?, yaani mtu akielezea uchafu wa choo chako ili kiweze kusafishwa wewe utangangania kwamba sebule yangu ni safi?..
 
Mkuu nnguu007, sidhani kama Mwz kote pako hivyo na ngumu ku-conclude barabara za jiji hilo maana hata huku sehemu kibao tu (Tandika, Manzese, n.k) ziko hivto na zaidi ya hivyo.

Labda ungesema barabara za Kitanzania.
 
Kigezo kilichoupandisha mji kuwa jiji ilikuwa ni nini? inawezekana kuushusha hadhi huu mji wa Mwanza? Nilitegemea kama ni usafi basi Moshi inastahili kuwa jiji sasa.
 
Kuna hiyo moja yenye maji maji inayopita Rehema hotel inatokezea barabara ya kwenda airport nasikia inajengwa kwa kiwango cha lami inaunganikia maeneo ya kiloleri (inakutana na ile inayotoka Buzuruga kwenda Pasiansi inayoendelea kujengwa, hofu yangu tu technolojia itakayotumika kujenga hiyo barabara na fungu lililopo maana mkandarasi ni mzalendo (Nyanza road) hivyo ni rahisi wazee wa shortcut kumuuingia na kuchakachua BOQ
 
Back
Top Bottom