Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,013
- 10,170
Kigezo kilichoupandisha mji kuwa jiji ilikuwa ni nini? inawezekana kuushusha hadhi huu mji wa Mwanza? Nilitegemea kama ni usafi basi Moshi inastahili kuwa jiji sasa.
vigezo vinatolewa kisiasa japokuwa Mwanza kiaina limekidhi vigezo tatizo ni serikali kuu nguvu imeelekezwa Dar pekee kwa kupewa miradi mingi but kinachotakiwa na jiji kama hili lipewe percentage flani ili kuboresha miundombinu kwani MZA kuna opportunity hata kabla ya kuwa jiji bado kuna shughuli kibao za kiuchumi zilikuwa zinafanyika kwa tija na mji ambao unahudumia mikoa jirani ya kanda ya ziwa