Picha: Mnyika aendelea kutekeleza ahadi zake jimbo la Ubungo

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
Leo mbunge wa ubungo john mnyika ameendelea kutekeleza ahadi yake kwa kuwakabidhi cherehani sita na mshine ya kudarizi mbili. Vikundi ni cha Kimara Matete na milenia ya tatu. Vifaa hivyo vina thamani ya milioni 15. Pia mbunge alipata nafasi ya kuzungumza na wapiga Kura wa jimbo la Ubungo kijiweni kimara mwisho
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    525.5 KB · Views: 887
  • image.jpg
    image.jpg
    453.4 KB · Views: 797
  • image.jpg
    image.jpg
    571.6 KB · Views: 686
  • image.jpg
    image.jpg
    382.3 KB · Views: 642
  • image.jpg
    image.jpg
    526.9 KB · Views: 609
Habari ni nzuri ila picha uwe unaziweka kwenye mpangilio mmoja ili usimsumbue msomaji. Otherwise, Big up Jembe Mnyika.
 
Ni muda muafaka pia aanze kuwaaga wananchi, kwani Jimbo linarudi kwenye chama Kikubwa!!!

Wananchi wa Ubungo wamemvumilia sana huyu kijana!!
 
Ni muda muafaka pia aanze kuwaaga wananchi, kwani Jimbo linarudi kwenye chama Kikubwa!!!

Wananchi wa Ubungo wamemvumilia sana huyu kijana!!
utaaga wewe utamuacha mnyika anafanya yake.
 
Miaka michache sana ya Mnyika kuwatumikia wana Ubungo imekuwa ya maana sana kuliko mika zaidi ya 30 waliyoitumia magamba kuliongoza.

Huu ni mfano wa kuigwa kwa wananchi wengine kufanya maamuzi sahihi kwa kuchagua wabunge wa Chadema ambao wanakuwa na uhakika wa kuletewa maendeleo.
 
Back
Top Bottom