(Picha) Mawaziri watema CHECHE bunge la EAC

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kwa Hisani ya MIsupu


PHOTO1.jpg


Mwinyi na Membe wakitafakari jambo na kutoa Hoja nzito nzito


PHOTO3.JPG


SIta akifikilia Jambo ili atoe cheche

Mytake:

Hawa Mawaziri wanakiabisha chama chetu
 
Wakenya wakiona hivyo, wanapenyeza hoja nzito ili Wahe. kutoka TZ waunge mkono bila kuisikia na kuitafakari.
 
Naona huyu Mzenji anachat FB:yuck:, Membe kwa kumwangalia, fikra zake hazipo kwenye kabrasha mbele yake. Mwisho wa siku wanakunywa maji mbele yao wanakimbia maliwatoni wanawauta wenzao wamenyoosha mikono kuamua jambo la kuipendelea Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda:doh:
 
Jamani isijekuwa ni hujuma inafanywa na hizi zingine. Haiwezekani mawaziri wote full kulala, au posho ya vikao ni kidogo sana? Au pengine walishazoea kutoshirikisha vichwa, sasa wameshirikishwa kidogo vikauma kwa kuwa zile nondo zinahitaji mtu kuwa makini muda wote!! Ahsante kwa picha mkuu!
 
nionavyo mimi hapa Mwinyi na Membe wako bize na kusoma sms katika simu zao
 
Back
Top Bottom