commited
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 1,626
- 870
Yaani badala ya Pinda kuhangaika na maji anahangaika kuwatafutia maisha bora AGRISOL!!! Aibu!
Mkuu nchi imeshauzwa siku nyingi sana hao AGRISOL wanalipa kodi ya tsh 1000 kwa hecta 1 kwa mwaka.. unategemea nini na wanahati ya 99 years..... tanzania ukiifikiria sana unaweza ingia msituni..... Mihimili yoote mitatu ni wizi mtupu.. wao furaha yao nikuona wananchi tunakufa.. na kuzidi kuwa maskini....Mabadiliko yatakuja lakini tutafika tumepoteza wengisana na kuchakaa haswa... wezi wa rasilimali zetu.. ni haohao waliopo madarakani.......... uzalendo unaniisha kila siku.. kila nikiangalia madudu yanayofanywa na watawala wetu kila siku na hakuna anayechukua hatua.. mahakama nao ni njaa na wezi tu wamejaaaa... DUNIANI HAKUNA HAKI ..HAKI IPO KWA MUNGU TU.