PICHA: Kwanini Tundu Lissu amelia baada ya kushinda kesi??

Bukanga

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
2,857
1,936
LISSU1.jpg

Mbunge wa jimbo la Singida mashariki CHADEMA),Tundu Lissu,muda mfupi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yaliyotolewa na Shaban Selema na Pascal Halu wa CCM,kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge.

LISSU.jpg

Tundu Lissu akifutwa machozi wakati wakitoka nje ya mahakama baada ya mahakama kuu kutangaza kuwa ushindi wake huo, ni halali.(PICHA NA Dewjiblog)

Ndugu,wakati wa kesi Tundu Lissu alikuwa thabiti na mwenye kujiamini, sasa baada ya kushinda kesi ndiyo anaonekana kulia.

Nini maana ya kulia huku kwa Tundu Lissu?

Kwa hisani ya Mjengwablog.
 
Analia haamini kama angeshinda kwa jinsi alivyoiba kura na kuchezea akili za jaji kwa kubadilishia wwatu ushahidi!
 
Tundu lisu is very emotional and sentimental hata bungeni we mwangalie..
So ni rahisi kwake kuburst into tears when he is overjoyed,angered etc..na kesi ilikua within discretion ya judge..sie tunajua kuwa kunasheria lakn mwisho wa siku ni suala lajudge kuamua upande aloona umemridhisha..what happens kama jaji ana itikadi zisizoonekana za chama?Ama kwa vyovyote vile angeamua tofauti?
This was in disbelief-hasa ukizingatia yalomkuta lema.
 
LISSU1.jpg

Mbunge wa jimbo la Singida mashariki CHADEMA),Tundu Lissu,muda mfupi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yaliyotolewa na Shaban Selema na Pascal Halu wa CCM,kupinga matokeo yaliyompa ushindi wa ubunge.

LISSU.jpg

Tundu Lissu akifutwa machozi wakati wakitoka nje ya mahakama baada ya mahakama kuu kutangaza kuwa ushindi wake huo, ni halali.(PICHA NA Dewjiblog)

Ndugu,wakati wa kesi Tundu Lissu alikuwa thabiti na mwenye kujiamini, sasa baada ya kushinda kesi ndiyo anaonekana kulia.

Nini maana ya kulia huku kwa Tundu Lissu?

Kwa hisani ya Mjengwablog.
Wanajamvi huyo jamaa hapo nyuma ya lisu mwenye kola nyeupe ni kaka yake wa kuzaliwa lisu anaitwa alute mughwai ndiye aliyekua wakili upande wa magamba kwenye kesi ya lema arusha mjini....
 
Njia moja wapo ya kufisha ujumbe kulia haina maana kuhuzunika bali hata kufurahi pia!
 
Ni kawaida ya binadamu kuwa na machozi ya furaha!!!!
 
Anajua kuwa ameshinda kwa dhuruma na ametumia ujuzi wake wa kisheria katika kupindisha sheria,
kwa hiyo yale machozi ni majuto ya nafsi kwamba anaonekana mshindi kwa njia zisizo halali.
 
.........mamba akiwa anamtafuna binadamu hutoa MACHOZI si kwamba anamhurumia binadamu bali anafurahia utamu wa nyama ya binadamu, kwa hiyo machozi hutoka kwa maana nyingi
 
Njia moja wapo ya kufisha ujumbe kulia haina maana kuhuzunika bali hata kufurahi pia!

Mlongo; mbona Pinda alivyotokwa na machozi kipindi anaongelea suala la mauaji ya kinyama ya Albino wengi wanam'beza kwa ktendo hicho, je yeye si binadamu wa kawaida mwenye hisia kama Tundu?
 
Lissu anakerwa na umaskini wa wananchi...alijua kuna dhulma hapo sasa haki ilivyotendeka amewakumbuka watu wake then anawaambia am back again akamwaga chozi..nashindwa kuwaelezea bt LISU WE NI MPIGANAJI WA UKWELI MKUU..
 
Tundu lisu is very emotional and sentimental hata bungeni we mwangalie..
So ni rahisi kwake kuburst into tears when he is overjoyed,angered etc..na kesi ilikua within discretion ya judge..sie tunajua kuwa kunasheria lakn mwisho wa siku ni suala lajudge kuamua upande aloona umemridhisha..what happens kama jaji ana itikadi zisizoonekana za chama?Ama kwa vyovyote vile angeamua tofauti?
This was in disbelief-hasa ukizingatia yalomkuta lema.

Ni kweli kabisa mkuu, Serikali inaingilia sana uhuru wa mahakama...

Tunashukuru tu jaji azingatia miiko ya taaluma yake!!
 
Wanajamvi huyo jamaa hapo nyuma ya lisu mwenye kola nyeupe ni kaka yake wa kuzaliwa lisu anaitwa alute mughwai ndiye aliyekua wakili upande wa magamba kwenye kesi ya lema arusha mjini....

unazifaham nguo zake manake hajaonesha sura yake umemjuaje
 
Back
Top Bottom