Mkuu tuliwahi kutwa na Tembo wa Tarangire kule,ni wakubwa mno gari fupi aisee hiyo siku.Ila wazungu ni majasiri sana,sidhani kama ningeweza kuwa mtulivu hivyo alafu nipo na mnyama hatari lazima ningejihami.
Kwamba wanaunga mkono juhudi?Ashambulie Maokoto nani atakuja kuwaona Mbugani
Sio kweli, simba wakiona mtu yupo juu ya gari wanajua ni mtu,Lions may perceive safari vehicles as a single large entity, rather than as individual humans inside. They may also consider people to be bony, and find it dangerous and not worth the risk to mess with people.
Google is free.
Kwanin hawawaumiSio kweli, simba wakiona mtu yupo juu ya gari wanajua ni mtu,
Hata hao duma unawaona kabisa wanaoanda juu ya gari na kwenda kucheza na hao watalii, wanatambua
Sio kweli, simba wakiona mtu yupo juu ya gari wanajua ni mtu,
Hata hao duma unawaona kabisa wanaoanda juu ya gari na kwenda kucheza na hao watalii, wanatambua kuna mtu na kuna gari
Simba hapendi kushambulia watu bali tu pale inapobidi, mfano
Simba jike akiwa kajifungua ukiwa juu ya gari anakushambulia
Hawaogopi binadamu bali chombo walichopo.Nami nashangaa ina maana wanaogopa binadam
OkayHawaogopi binadamu bali chombo walichopo.
Wanyama wanajua chakula chao, hivyo huwa hawawezi attack kitu ambacho huwa hawakili labda kama kimehatarisha maisha yao.
Kuna siku nilikuwa Serengeti tume set camp chini ya mti kumbe kuna chui juu. Aliruka akakimbia.
Huwa nashangaa sana wanaosema koboko (black mamba) huwa anakimbiza watu. Huo ni uzushi labda kama ni nyoka wakutumwa.
Mara nyingi Simba huwa wanawinda kimkakati, na kwa kuvizia na kufanya ambush baada ya kupiga hesabu na kuona windo linakamatika, mtu akiwa juu ya gari huku anawatazama wanaona ni ngumu kumkamataToa ufafanuzi wako basi.
Chui au Simba akikufuma upo pekee yako porini anakufanya kitoweo tuHawaogopi binadamu bali chombo walichopo.
Wanyama wanajua chakula chao, hivyo huwa hawawezi attack kitu ambacho huwa hawakili labda kama kimehatarisha maisha yao...