PICHA: Kikaragosi cha muungano Tz na Znz

Kwa kukimeza kipato kidogo cha Zanzibar. TRA ina kazi gani kule Zanzibar isipokuwa kuichunga hicho unachohisi kidogo lakini kwa mlafi kwake kula ni kula tu!
Tanzania inajumuisha eneo lote la tanzania bara na visiwani kwa maana ya Unguja na Pemba,TRA ni haki yao ya msingi kuwepo Zanzibar na wanatoza kodi kwa mambo yale u yanayohusu muungano,bado sijapata mtu wa kuniambia hasa ni kwa namna gani Tanzania bara inaonyonya Zanzibar.
 
Back
Top Bottom