PICHA: Kikaragosi cha muungano Tz na Znz

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kiranja Mkuu, Nov 29, 2012.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Je kuna ukweli hapa?
  Mimi naona Wazanzibari wao wanafaidika zaidi na muungano ukilinganisha na sisi
   
 2. A

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Aliyetengeneza hiki kikaragosi bila shaka atakuwa mwanauamsho, chini ya Shehe Faridi. Na sisi tunaitaka Tanganyika yetu. Hawa Wazanzibari wamezidi sana kutudharau. Ama kweli shukrani ya punda ni kuishia kukupiga mateke, hata umsaidie vipi.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 17,858
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Huyo aliyeweka bendera kazikosea
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,477
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanzanzibar wanawapa nini watanganyika mpaka tunaona watanganyika wanafaidika na Muungano?
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 23,914
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 63
  hapo lazima uamsho wanahusika
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 38
  Mammbo ya sheh Farid na Sheh Mselemi!!
   
 7. C

  CHRISTURKER JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna ukweli hapa,mchora katuni hajawawakilisha wazanzibari hapo,Mzanzibari gani ana KISOGO? Wale jamaa ni flat screen.
   
 8. charger

  charger JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 2,319
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 38
  Tanzania Bila na Tanzania Visilani
   
 9. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,937
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wenye nacho wataongezewa
   
 10. Kakende

  Kakende JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 2,741
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Siku muungano ukivunjika wanawake wa ZANZIBAR watajuta kuzaliwa kwani utawala wa SHARIA ya kiislam utaanzishwa ambapo watazuiwa kwenda shule, wakikamatwa wamezini watapondwa mawe hadi kufa. Muungano ukivunjika itapatikana PEMBA na UNGUJA-nje ya muungano hakuna ZANZIBAR
   
 11. M

  Mandi JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanganyika tusimfanye nyerere kutokua na akili katika kuunganisha zanzibar na tanganyika.hiyo picha ndo hali halisi yamuungano.ukiwauliza watanganyika muungano unawanufaisha vp wazanzibar?atakujibu wapemba wamejaa kariaokoo wanamaduka.wao wanaiyona hiyo ndo faida.nyerere ameufanya muungano huu ili tanganyika ijibebeshe koti la muungano na sio vengine.kibonzo ni reality beyond the truth
   
 12. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 2,804
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  Huoni hapo anachopewa? Vinginevo Watanganyika wangedai MUUNGANO sahihi wa serikali TATU ati. WANAFAIDIIIIIIIIIIIIII.
   
 13. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 2,804
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  Kufa muungano hatuombei ila UBORESHWE kwa kuwa na serikali TATU. Muungano DAIMA MBELE!!!!!!!
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 23,914
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 63
  Jamani hivi ni lini muungano utakapovunjika?
   
 15. Kakende

  Kakende JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 2,741
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,477
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mimi naona picha hii haina ukweli bali ni upotoshaji tu,tangu lini mtu aliyekondeana kama huyo Mzanzibar akawa na uwezo wa kumlisha mtanganyika?Naona ingefaa hicho kijiko kingekuwa kinatoka kwa mtanganyika kwenda kwa mzanzibar ingeleta maana.
   
 17. m

  mwanaodessa Senior Member

  #17
  Nov 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Yaani siku hiyo nyumbani kwangu lazima nifanye sherehe,
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 23,914
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 63
  mi nasubiri kwa hamu sana nione uhuru wa Tanganyika kwa mara ya pili
   
 19. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 2,804
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  Hii ndo hali halisi kwani malikia wa mchwa hutafuta mwenyewe chakula ndugu yangu?
   
 20. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 2,804
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  Ki vipi wakati umekaa unalishwa tuuuuuu. Baba wa taifa alizunguka nchi nzima kudai UHURU wa KWELI.
   
 21. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #21
  Nov 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 23,914
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 63
  nalishwa nini?
   
 22. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #22
  Nov 29, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 2,804
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  Jamani hukioni HAPOOOOOOOOOOOOO!
   
 23. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #23
  Nov 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I hate Zanzibar
   
 24. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #24
  Nov 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,732
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38

  Kwani ulishawahi kusikia nyani akaliona ku nd ule?
   
 25. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #25
  Nov 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,732
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Zanzibar inafuata msemo wa dini, Inakupenda sana wewe adui wake!
   
 26. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #26
  Nov 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,732
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Joseph, Hivyo huo mchoro hujaufahamu bado? Hivyo mtumbo kama uwo unaweza kuhisi kuwa unapewa kitu kutoka kwenye kakibakuli kadogo kama hico. ungeufuatilia huo mchoro basi ungekuwa na huruma kwani baba lililoshiba linamkamua masikini. Halafu nawe unazidi kunogesha.
   
 27. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #27
  Nov 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,732
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Walikuwa hivyo walipokuwa huru,hujuwi kuwa madhila yanamuharibu mtu maumbile???
   
 28. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #28
  Nov 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,732
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Riwaya gani tuiite hiyo yako? Kusadikika umeshatungwa , labda tuiite Duwa la kuku!
   
 29. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #29
  Nov 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,732
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Ulishawahi kumuona tajiri akabeba zege? Na ulishawahi kumuona mbeba zege akatanuwa? Hii ni kawaida mlafi hioni vibaya kumdhulumu fukara na hiyo picha inamaliza yote.
   
 30. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #30
  Nov 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,732
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 38
  Hee! Mbona keshokutwa tutasherehekea miaka 51, unataka uhuru gani tena? Ulishawahi kusikia mkoloni akafurahia kuacha koloni?
   

Share This Page