PICHA: JENGO la MAKUMBUSHO la BAYTIL AJAIB (House of Wonders) LAPOROMOKA na KUBOMOKA

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
[h=3]Jengo la Baytil Ajaib “Makumbusho Kuu” labomoka[/h]


Baiytul Ajaib “House of Wonders” lilivyoathirika

Gari likiwa limeangukiwa na kifusi cha sehemu ya jengo lililoporomoka

Sehemu ya jengo la makumbusho liliporomoka kama linavyoonekana

Makamu wa Rais akipata maelezo jinsi jumba lilivyoanguka

Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akiwa haamini alichokiona hapo Jumba la Maajabu, Forodhani
2.jpg

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisikiliza maelezo kutoka kwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Said Ali Mbarouk (mwenye fulana), kuhusiana na kubomoka kwa jengo la makumbusho kuu ya Zanzibar
(Picha na Salmin Said, OMKR)
 

Oh WOW... Lakini Zanzibar sasa hivi Hawataki WATALII; Ndio waliokuwa wanakwenda kuliangalia kama KIVUTIO na KUIINGIZIA nchi ya ZANZIBAR $$$
 
Back
Top Bottom