Picha itakayomsuta JK na wabunge wake mamilionea.....

Please please GT, don't try to throw a red herring at us.
Ufisadi is a real problem in Tz, we have to tackle it.

Don't make us think that you Game Theory will be a happy man when this war/struggle against Grand Corruption stops.
Why do you want this war/struggle to stop?

The Govt, and CCM by extension holds our money, and do allocate according to their priorities, rightly or wrongly. So we have to hold them responsible for misallocation of our resources and wrong prioritization.
Chadema on the other hand receives some ruzuku to use it as it pleases according to their priorities.

The CCM Govt has to more answerable because it collects taxes from us the citizens.

Mzee GT usijaribu kuhamisha lawama. Serikali ndiyo ina makosa sana. inanunua mashangingi ya gharama, inaingia mikataba mibovu na makampuni yao wenyewe viongozi na kuiba pesa za nchi, viongozi wanateuliwa kiushkaji hata kama hawana uwezo na matokeo hakuna ufanisi etc.

We need a strong opposition to make the Govt work better.
 
Let me break it down for you nice and simple.

Wanasiasa wetu wameshindwa, na kwa sasa wanaelewa kwamba wameshindwa, na hawana hata nia ya kuonyesha leadership ya kutatua matatizo.Wanaamini kuwa matatizo yetu ni makubwa mno na hayatatuliki, kwa hiyo wanachofanya sasa hivi ni kugida na kutumia tu.

Ikiwa haya yanatokea Mbagala hapo walking distance kutoka Ikulu (Mwalimu si alitembea kutoka Pugu?) I can't imagine what is happenning in the peripheries of the peripheries of our country.

Tunahitaji courage, tunahitaji initiative, tunahitaji an overhaul of the existing system.
 
Masikini vijana wetu, halafu kwa Bahati mbaya zaidi it's Mbagala again, wakilalalamika LUKUVI atawaambia wanapashwa kuzoea hili kama watoto wenzao wa Kipawa walivyozoea kelele za ndege!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Duh! Tz ya 2009 hii...

Tz ( gari ) yetu ina gia ya reverse ( ya kurudi nyuma ) wow!!!!!
 
We can't say enough with ufisadi. Tatizo la umaskini wa nchi yetu linatokana na ufisadi na mafisadi. Hatuwezi kupambana na umaskini kabla hatujakata mizizi ya ufisadi. Itakuwa ni kama kujaza maji kwenye gunia. Sote tunakubali kwamba umaskini ni tatizo kubwa sana katika nchi yetu, lakini lazima tujue chanzo ni nini. Then ndio tutafute suluhisho. Chanzo ni ulaji rushwa na ufisadi. So, tudhibiti kwanza rushwa na ufisadi, then tutatue umaskini wetu.
 
Ndio...kwa nini wakodi helicopter la mamilioni in the first place?

wanakimbia nini? hawataki kuona reality on the ground?

huku tunalalama CCM wafujaji alternative nao ndio kama hivyo kwa matanuzi hawawezeki

Welcome back, the GT i know.
I like this analysis. Hivi kuna wakati kuna mtu huwa anatumia jina lako kuwasilisha mada mkuu?
 
Kaka mbona hiyo asavali ni town watoto wamekula asubuhi, wamevaa vizuri though kuna cocktail ya viatu, I will on short vocation kwa vijiji nitaleta picture halisi ya what going on in rural areas ni aibu na inatisha, watoto wanaenda shule bila kula kitu labda kiporo, bado watalima mashamba ya walimu na shule na kazi nyinginezo, uniform mhh sisemi na funza(matekenya) walishawala miguu watoto wanatembea kama wazee. Vitabu na vifaa vya kufundishia haba. Anyway nitakuleteeni some pictures from my trip. But on other hand I think we also need to start doing something kwaajili ya vijiji tutokavyo, tuache kuogopa uchawi tuwasaidie pale tunapoweza kwa kile kidogo tulichonacho maana si unajua tunaambukizana vijitabia. Kila mdanganyika anafikiri usawa wa tumbo siku hizi.

Ni kweli yatupasa kufanya hivyo. Lakini bado nasononeshwa sana na matumizi na vipaumbele vinavyotumika katika matumizi ya kodi yangu ya kila mwezi (PAYE). Natoka kijijini ambako umeme unapita hapo hapo kuelekea Gridi ya taifa lakini kijiji chetu hakina umeme!
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.



-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

Kichwa cha habari na mada ni mbingu na ardhi, nimeshindwa kuelewa kichwa cha habari kina uhusiano gani na JMK? Hata kama:

1) Wabunge Mamilionea hawakuanza wakati wa JMK.

2) Hakuna aliekwenda kupigana vita comoro, Tulienda kumnyofoa mkorofi mmoja. Vita tulipigana Uganda, Mozambique na Southern Rhodesia wakati wa Nyerere na matokeo tukawa masikini wa mwisho, hata kandambili zilikuwa hamna. Sijui kama ulikuwapo wakati huo, kama ulikuwa haupo naomba wna JF wengine wasaidie kukupa habari hizo.

3) ID kwa dunia ya sasa jinsi inavyozidi kuwa ndogo na tekinolojia inavyozidi kukuwa ni lazima kuwa nazo, tukipenda tusipende. Jee, umeshatembelea sehemu kama benki kwenda kupokea pesa za ulizotumiwa na unaanza kuulizwa kitambulisho? nadhani kama imeshakutokea japo hili tu, utaona umuhimu wa ID. Wengi wetu tukienda sehemu zitakazohitajika ID, huenda na kadi za kura au pass port, cha kujiuliza ni wa Tanzania wangapi wanapiga kura? na ni wangapi wenye pass port na ni wangapi walioajiriwa wakapewa vitambulisho na waajiri wao? utakuta kuwa ni wachache sana, wengi wetu ni peasants ambao hawaajiriwi wala hwapigi kura wala hawana passport, kwa hiyo suala la ID ni lazima kwa mtazamo wangu na natumai kwa sasa nawe utauona ulazima wake.

4) Hedikopta ipi unayoiongelea wewe? kwani juzi juzi tu nimeona hedikopta za kumwagilia dawa zikishuka pale bandarini. Na nimeona za Jeshi zikifanya mazoezi, na nimeona ya Police ikiranda randa kufanya doria, sasa sijui ipi unayoongelea?

5) Kuhusu mwaka wa pili sasa kuongelwa ufisadi, nadhani hili inabidi JMK apewe pongezi kubwa sana kwa kutowa fursa ya kuongelewa, kubanwa na mafisadi wengine kulipishwa mifedha waliojichotea na hata wengine wengi kufikishwa mahakamani. Ni kwa mara ya kwanza kwa Tanzania kuona ufisadi ukipigwa vita kwa kiwango hiki kupita awamu zoooote zilizopita. Kwa hli JMK anastahili kila sifa. Wengine waliopita walikuwa wapi? wamelala? au na wao walikuwa kwenye ufisadi? kwani ufisadi na mafisadi wengi wanao umbuliwa sasa walianzia huko kwenye awamu zilizopita.
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...
maendeleo.jpg

Wanafunzi wa darasa la saba kutoka Mbagala Kuu jijini Dar es salaam wakiwa katika mitihani yao ya kila mwezi.



-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

Duh! hii inanikumbusha nikiwa darasa la kwanza pale Tabata Primary iaka ya 80's. Hata hivyo sisi madawati yalikuwepo japo kidogo so wavulana tulikuwa tunakaa kwenye madawati na wasichana wanakaa chini (msiniulize kwanini wasichana walikuwa wanakaa chini - huo ndio ulikuwa utaratibu). Anyway back to the clip, of course hii inaonyesha ni impact za mabomu na picha hii inaonyesha wapo nnje sio darasani. Lakini hali ya wanafunzi pia inasikitisha na inareflect hali ya maisha inavyozidi kuwa duni. Kama watoto wa Dar wanaenda na malapa shule, je hali ikoje vijijini kwetu?.

Kimsingi, therenis a vey serious issue in this clip, does it mean the government can not provide even chairs? I suggest the responsible authority to declare a state of emergence so that other well wishers can chip in e.g. NGOs, NGIs, etc this should be doable.
 
Chadema hawana ahadi yoyote kwa wananchi?

Wao kwani wamepewa nchi na kutotimiza ahadi zao? CCM wameshika nchi kwa miaka mingapi? Na tumefika wapi mpaka leo? Time to change the government! Kama huwezi, achia. Then mnakuwa upinzani na muanze kunyoshea kidole CHADEMA na wengine wasipoweza kutimiza ahadi zao.
 
Kwa matatizo ya kiuchumi na kijamii, lawama zinakwenda kwa CCM moja kwa moja. Ndio waliokabidhiwa Tanzania. Wewe Game usitake kupindisha pindisha mambo. Tunakujua wewe ni zao la ufisadi na unafaidika na mfumo wa ufisadi unaoendelezwa na CCM. Ebo!!! Usitake kuniharibia appetite yangu ya kitimoto hapa Rainbow.
 
nimeishiwa nguvu kabisa kama mbagala DSM ni hivi, je kule kwetu iponyamakalai na ishishang'holo patakuwaje.

ohhh kikwete why??
our presidaa cannot think beyond the next meal!!
 
. Wewe Game Tunakujua,wewe ni zao la ufisadi na unafaidika na mfumo wa ufisadi unaoendelezwa na CCM..

teheteheteheteheteheteheh!HII NI BALAA KWELI KWELI.labda utusaidie sisi wasomaji wa hizi malumbano VITHIBITISHO TU.kama anavyofanyaga mwanakijiji




. Ebo!!! Usitake kuniharibia appetite yangu ya kitimoto hapa Rainbow.

SASA HII NI XXL!teheteheteheteheh!tunashukuru kwa tangazo anyways.unakula lost au kavu?hao jamaa wanawazidi hawa wataalamu wanaochomaga mdudu hapa kigogo?
 
Hii ndio hali halisi kule MBAGALA ..na ndio Tanzania ya 2009

enough with mijadala ya ufisadi...hali halisi on the ground ni hii...

-Spika wa bunge letu bwana Samuel Sitta anasema kuwa wabinge wanastahili kulipwa zaidi ya milioni 7 kwa mwezi apart from marupu rupu

-Pesa za kupigana vita Comoro tunazo

-Pesa za mabilioni kwa ajili ya ID cards pia tunazo

-Pesa za kumpa Mattaka na wajumbe wake kule NIC tunazo

This picture shows how out of touch tumekuwa na majority on the ground. Its been 2 years hakuna kinachojadiliwa zaidi ya UFISADI, ile ilani yetu ya UCHAGUZI imetupwa kapuni na mbaya zaidi wapinzani kama CHADEMA nao wako more out of touch kuliko wote on the ground kwani wao bora kukodi helicopter ili kuwakimbia wananchi wakati wa kampeni...

Pesa ya helicopter si wangewanunulia madawati hawa wanafunzi?

anyway nawasilisha.

Well said GT; just to add on your good points:
Hivi na hawa akina Subash, RA, EL, JK na wengine si nao wangechangia 10% ya mapato yao kununua hayo madawati... halafu na CHADEMA nao wafanye hayohayo!!

kwa upande mwingine, maendeleo yetu si yanatakiwa kuwa planned? sasa for the last 40 years what has the government been doing? recovering or what?

I would rather see these kids on the floor, with our leaders poor too but not the way it is now, where our leaders own the uchumi and politics too

Pesa ya EPA tu ingeweza kutupandisha daraja lakini mpaka sasa tunawaona watu wako kitaa wanakata blue labels na VSOP kwa kwenda mbele

INAUMA SANA UNAPORUDI HOM NA PESA YA LUKU WAKATI UMECHOOKA HATA MAMA HAPATI HAKI HALAFU TUNAANGALIA MAFISADI WAKIGAWANA MBUGA ZA TAIFA

ONE DAY-----
 
ai ai ai hata huruma tu ya kibinaadamu jamani, what kind of people are these labda sio watu ni maiblisi how can they enjoy oue money and c watoto in these condition mungu asinijaalie
 
Aliyepiga picha hii hana adabu sitashangaa nikisikia kibarua kimeota nyasi, maana mkulu anatangaza kuwa kwenye elimu hatua kubwa imefanyika yeye ndo anashusha bomu. Sasa kama si ukosefu wa adabu ni nini? ha ha ha ha
 
Sijawahi posti chochote huku kwani mi sio mpenzi sana wa siasa, ila kuna rafiki yangu mmoja amepitia humu akaguswa na hii post so akanitumia email yenye texts zake ili nimsaidie kuziweka humu :-

For the past many years kuna msikiti maarufu sana pale arusha unaitwa msikiti mkuu, ulikuwa unatawaliwa na wazee ***viongozi walio jichokea***, ilikuwa ikipitishwa sadaka inaweza patikana kama laki kadhaa kila wiki, lakini cha ajabu nikwamba hakuna mwelekeo wowote hiyo msikiti ilikuwa nayo.

Last year Vijana wali chukua madaraka kwa nguvu, ili kuproove kwamba hiyo msikiti inaweza kufanya vitu vingi kuliko inavyo dai, after 3 months, ilipitishwa sheria nyingine na hao vijana ***kama kutaja kiasi kilicho patikana msikitini kila ijumaa n.k***

Msikiti ikaanza kuonyesha matunda, kwani improvements iliweza kuonekana wa kutosha kama kujenga sehemu flani flani za msikiti, kupaka rangi mpya, kusaidia watu walio kuwa wanahitaji msaada wa msikiti huo na hata kuchimba maji ili wanao hitaji maji sana pale jirani waweze chota ***for free***

Now the reason jamaa huyu ameongelea kuhusu hiyo msikiti sio mambo yakidini, nikuhusu uongozi, tuseme ukweli, tanzania tangu tupate uhuru vyama ngapi vime ingia madarakani? na ninani anaye n'gan'gania hizo vyama? na ninani anaye athirika na promise za uongo tunazo jaziwa vichwani?

The point ni kwamba inaonyesha wananchi ni waoga wa ***changes*** kila mtu anaridhika hapo alipo, Kama hiyo sio ukweli embu tujaribu kuchagua chama kingine next term and see mabadiliko, kwani hao chama ambao walikuwaga madarakani tu miaka yote wakijaza matumbo yao utaona wataanza kujibana bana kidogo iliwaonekane kwamba wao pia wanaweza changia kitu. ***good example ni hao vijana walio chukua uongozi wa msikiti kwa nguvu***

Nchi inajengwa au kubomolewa na mwananchi mwenyewe kwani hata huyo rais we ndo umemchagua, bila wewe yeye asingeweza kuwepo pale, so usiwe na uoga wa mabadiliko.

***Thats the end of the mail, i edited some places due to some sharp words he used***
cheers
 
Back
Top Bottom