Picha itakayomsuta JK na wabunge wake mamilionea.....

Mi binafsi sielewi kabisa,,,why till now kuna shule zisizo na madawati.??....jamani ivi mpaka saiz bado kuna watoto wetu wanaendelea kukaa kwenye mavumbi na wakati kila kukicha serikali inatoa ahadi kibao tu za kuboresha elimu?. Mipango mibovu ya kutozingatia vipao mbele mhimu ndo chanjo cha yote haya. Ukiwauliza mbona wakati wa kampeni mliahidi ivi? Wanakwambia unajua,badget hii ni sawa na kasungura kadogo. Jamani tuna vyanzo vingapi vya mapato? ...ni vingi mno! Mikataba mibovu ya madini ndo usiseme kabisa. Ufisadi nao ni kila kikucha! Maisha bora kwa kila Mtanzania bila elimu bora kwanza ni kauli mbiu HOVYOOOOOO ya chama HOVYOOOO chenye viongozi wake HOVYOOOOOOO!
 
kumbe hao watoto inaonekana wanasomea nje kabisa. Shame upon the gvnment of CCM!
 
Back
Top Bottom