Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,974
- 46,947
Mkuu mambo yaliyowakuta Sudan sio ya kawaidaHii story sijawahi kuizoeya kila nikikutana nayo inaniumiza sana....
Fikiria mtu unaumwa njaa mpaka unakufa,yaanni njaa inamuuwa mtu!!mateso gani haya?dah Mungu awasaidie wote wanaohangaika kutafuta mlo wao,sisi tuna shida ila kuna watu wanazo shida ukiambiwa hata kama ulikuwa mgonjwa unapata nguvu.
Sent from my Redmi Note 5 using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati al Jazeera walikuwa wanaleta habari hizi
Kuna mama alikuwa amejifungua na yeye akiwa dhaifu hata maziwa ya mtoto hana kifuani wakati mtoto akiwa yuko hoi mama aliamua kumpa mate yake ili asogeze hata mda kidogo
Wacheni Mama aitwe Mama kwa kweli
Hii ndio iliniliza kwa kweli
Sent from my SM using Tapatalk