yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,226
- 4,894
Hawa ndiyo viongozi na watu wenye ushawishi mkubwa hapa nchini ambao wakikemea rushwa hata sura zao zinaonyesha na kumaanisha wanachosema. Hata km una deal lako hawa ndo watu ambao hawaingiliki..!
View attachment 273351
Dr.Ali mohamed shein.
View attachment 273352
Dr.Wilbroad Slaa
View attachment 273353
Tundu Lissu.
View attachment 273355
Mwadhama Polycarp Pengo.
Slaa mtoe ela aliyopiga wakati wa kampeni ni kubwa mno
In short hakuna mtu Mwenye jeuri juu ya pesa