Picha: Hawa ndiyo watu maarufu wasiopokea wala kutoa Rushwa

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,201
3,322
Hawa ndiyo viongozi na watu wenye ushawishi mkubwa hapa nchini ambao wakikemea rushwa hata sura zao zinaonyesha na kumaanisha wanachosema. Hata km una deal lako hawa ndo watu ambao hawaingiliki..!

1438623350294.jpg
Dr.Ali mohamed shein.

1438623456755.jpg
Dr.Wilbroad Slaa

1438623527193.jpg
Tundu Lissu.

1438623597097.jpg
Mwadhama Polycarp Pengo.
 
hivi bado kuna watu wana imani kuwa yupo mwanasiasa asiyepokea wala kutoa rushwa???
Kweli mmeachwa mbali
Mkuu Arnold alley pole sana! We nadhani umekata tamaa kutokana na maisha ya viongozi na watu maarufu kwa jinsi wanavyoikumbatia rushwa. Lkn ukitaka kuwa na uhakika na nilichoandika,jaribu kuwafuatilia hao watu hata kwa kuwauliza watu waliopata bahati ya kufanyakazi na hawa watu. Bahati nzuri hadi sasa wanalitumikia Taifa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom