(Picha)Harusi ya Dr. W. Slaa (21.7.2012)

Nipo Interested kufahamu umri wa Josephine na Slaa...mwenye umri wao anisaidie please!
Yasije yakawa ya Babu anuoa mjukuu!!!

Wameriadhiana mkuu? Mbona wazungu hamsemi au ile ya Mugabe na secretary wake hamsemi? Je Waigner na mkewe wana umri gani? Je Sackozy na mkewe ni umri gani? Je yule CNN pespective presenter mzee na kale kabinti mbona hakuna maneno? Maneno ni kwa Dr? Tena kwa taarifa ni bora mwanaume uoe mke unayemzidi ili akutunze ukizeeka. Mimi na wangu tunapishana kwa 12 years!!! She is my baby!!!
 
Scenario unazozieleza na ya Dr Slaa ni tofauti labisa.
Kumbuka hapa tupo Tanzania, na nchi yetu ina tamaduni zake. Kwetu sisi kitendo anachokifanya Slaa ni cha aibu!
Yeye kama kiongozi anapotosha vijana wetu na anaonyesha mfano mbaya sana! Imagine kiongozi huyohuyo, amefukuzwa/kuacha upadri, amemtekeleza mke wake, amewatekeleza watoto wake, amemwiba mke wa mtu...what do you expect from such kind of a person?
 
Naona sherehe zimeanza kwa nderemo
kesho ni kesho msema kweli ni mwongo
najua kesho mtafurika kwa sana kanisani

images

When one proves to have a brain the size of my pigs.
 
Aibu sana hii,bora wafiche wasifanye hadharani...kibibi nacho kitatinga shela au...can't wait..

Ulitaka uolewe wewe...mbona chadema tuko wengi ambao hatujaoa njoo nikuoe au unamtaka dr Slaa tu.
 
Kwa kuwa Dr. Slaa alikuwa Padre hivyo alipata sakramenti ya upadrisho. Pia najua kwamba kwa taratibu za kanisa katoliki ukishapata sacrament ya upadirisho (ahadi) huwezi kupata sakramenti ya ndoa; kwa Dr. itakuwaje akifunga ndoa kanisa katoliki atapata sakrament ya ndoa?
 
Akanana kaile kooona..kaileeeee...kaile nikeogola...
Ha ha ha ha Raisi kapata mwenza.. Hayawi hayawi yamekuwa.. Haolewi kaolewa...mapepo yashindwe kwa jina la Yesu! Semeni ameeen
 
Scenario unazozieleza na ya Dr Slaa ni tofauti labisa.
Kumbuka hapa tupo Tanzania, na nchi yetu ina tamaduni zake. Kwetu sisi kitendo anachokifanya Slaa ni cha aibu!
Yeye kama kiongozi anapotosha vijana wetu na anaonyesha mfano mbaya sana! Imagine kiongozi huyohuyo, amefukuzwa/kuacha upadri, amemtekeleza mke wake, amewatekeleza watoto wake, amemwiba mke wa mtu...what do you expect from such kind of a person?
Kwanini unazungumzia swala liloko mahakamani...?, kama Dr Slaa kamwiba mke wa mtu bado wewe atakuiba...
 
Scenario unazozieleza na ya Dr Slaa ni tofauti labisa.
Kumbuka hapa tupo Tanzania, na nchi yetu ina tamaduni zake. Kwetu sisi kitendo anachokifanya Slaa ni cha aibu!
Yeye kama kiongozi anapotosha vijana wetu na anaonyesha mfano mbaya sana! Imagine kiongozi huyohuyo, amefukuzwa/kuacha upadri, amemtekeleza mke wake, amewatekeleza watoto wake, amemwiba mke wa mtu...what do you expect from such kind of a person?

Mkuu Rejao, ngoja nikueleze machache tu. Nakataa si kitendo cha aibu maana tuna viongozi waandamizi sitaki kutaja majina lakini hawana mienendo mizuri na wanajulikana kwa wake wasio rasmi na mijadala mingine inapita hapa hapa JF. Bora huyu aliyeamua kufanya rasmi na hataki kudanganya uma. Hakufukuzwa upadre, kwa dhamira yake aliandika barua ya kuomba kuacha na alisubiri hadi kibali kikatoka Roma, vinginevyo ungekuta kanisa linamfuatilia kama ilivyokuea kwa fr. Nkwera. Lingine Dr. anatunza watoto wake na ndiyo maana hawajalalamika kwani they are over 18 na wanajua kizuri na kibaya. Kwa hakika ungekuta wameshatumika vibaya kama mama yao anavyikubali kutumiwa sasa hivi na kwa hakika kesi atashindwa vibaya sana. Hivi mkuu kwa miaka yote waliyoachana tena akiwa bado SSM kabla CDM hawajampokea baada ya kupigwa chini na SSM kwa sababu ya Mhe. Mbunge wa Hanang mbona hakusema lolote? Leo hii yuko CDM na ni mbunge ana mshahara na allowance halafu anasema katelekezwa? Why today? Kuna mengi behind the curtain Rejao. Shishabikii utovu wa nidhamu ila natizama scientific zaidi. Asante kwa kunielewa.
 
Back
Top Bottom