2015 kama france mkuu.
Ama kweli kumekucha...
Ndio tuna akaunti na Cheki zipelekwe katika Akaunti ya M4C, CRDB Bank Ltd au National Bank of Commerce Ltd. M4C stands for "MOVEMENT for CHANGE".
Edwin Mtei,
Muasisi na Mwenyekiti (T) Mstaafu, Mjumbe wa C.C.
Matatizo ya kufikiria kwa kutumia masaburi hayo,Kuanzia Iringa hadi Nchi ya mbeya ccm ni wapenzani km sio kuchakuchua kwa nchimbi hadi songea ilibidi wabunge wawe wa CDM.hiki kilikua kimbunga ss Tsnami inakuja 2015 hasalimiki mtu wa magamba,utajicheki hadi mzee nyimbo aliyekua usalama wa taifa kaamua kukikacha chama sembuse ww balozi au diwani?hama huko uliko utazeeka mapema kwa hasira wakati huku siku za kuishi zinaongezeka kwa kucheka na furaha
Lazima itakuwa Arusha hapa.
hamna lolote, picha
zakuunganisha (photoshop) cdm mnazd kujdanganya2 huku kusini hamna
hatuendeshwi kwa mkumbo kama mnavyofanya nyny, sisi tunatathimi
nakuchambua kwakina siyo kukurupuka2, ccm n makini sana, cdm upepo
wamda2.
Halafu Nape anaamini CCM itatawala milele.