Picha: Gamba jipya W. Malecela yuko wapi? Bilal akutana na Watanzania waishio New York

Kuna wageni jamvini naona wanamwita W Malecela gamba jipya . The man ni CCM miaka yote na amekuwa hapa muda sana ni sasa kaamua kutumia jina lake ila ana jina lake maarufu sana hapa .What I like abour William aka FM akianza na kitu hadi ajue mwisho wake .Na ni mstaarabu si kama CCM wengine akiwa amekosea atakuja hapa na kusema Wazee samahani .Ila asema na yeye ana mambo yake magumu tu akimpenda mtu hahahaah . William tuwasiliane namba yangu ni ile ile .
Yer right mkuu Lunyungu.Kwa wale waliofika NY jamaa Willy ni very welcoming na supportive kwa kusaidia kuifanya safari yako huko kuwa as comfortable as possible.
Mimi nimefaidika na ukarimu wake miaka kama mitatu iliyopita pamoja na kwamba tulikuwa hatufahamiani kabisa.
Hii ya kuitana magamba, kama alivoonyesha mtoa mada ni utoto wa kuweka serious issues in bad light.
Ntashangaa sana kama mtoa mada alikuwa part of the VC's entourage huko NY.
Na focus ya habari yake ni nini hasa? kwani umeambatana na VC kumtafuta William?
 
Mkuu MTM you look offended, please dont be.
But look at almost all threads that are critical of CDM and related happenings.
What follows ia a barrage of insults, booing down of honest and helpful contributions.
It is a clear fact that there are many more younger and energetical young people on JF that are actual CDM followers.
It is upon members like you to educate the other cdm/JF to counter criticism with logic,fact and figures.
I have always argued that Dr Slaa is respected for putting many of his assertions in a very logical manner.
And for that he has won many a hearts for his debating skills, mine included.
Dont we have a trickle down effect in this line of debates, as far as CDM is concerned?

Mkuu ukiwa na critique kwa policy au tokeo lolote against CDM , kitu cha kwanza utasikia:
"Katumwa na Nape huyo", "Nape at work", "Magamba huyo"
This has turned JF into a shouting match arena with no thinking at all going into the subject matter.
As a matter of fact, your top leaders have given CCM leaders a good walloping that they very much deserve.
I cannot be appreciative as much to those CDM members in JF.
It is now more or less normal for a ny critical post against CDM to go unanswered, and this is complacency.
Complacency leads to a situation that one goes on to make fatal mistakes.

Clap, clap, clap....bravo ! Well spoken like a true patriot ! Problem is, personally I find it hard, real hard to trust anything coming out anybody who still clings to the idea that my beloved country cant exist without CCM at the helm. For almost 50 year CCM has done nothing other than plundering the wealth of this nation like the end of world is just around the corner. And yet somebody still has the impunity and audacity to stand before me and without even blinking an eye, claim otherwise.

No, Mkuu Lole Gwakisa, just give me one good reason why you still have any faith in CCM which over the years has evolved to become something closer to a haven of thieves than a political party. Why, why oh brother, just give me one reason why after all these years I should still give you any time of day to listen to your well orchestrated lies and promises. Many of us, you must understand, are hurting so much inside that it is just by miracle I am here responding nonviolently to you.
 
Magamba at work!

Mkuu Rev umeingia kundi la wasukuma mikokoteni na ma-coconut? Tasavwali usiache kazi yako ya kulisha kondoo.

For a change kwanza nikununulie kofia mpya, hiyo uliyovaa inaweza kuwa na kunguni na viroboto.Tazama imekaa kama kikapu cha bibi, upside down!
Ndevu mara ya mwisho ulinyoa lini, kwa jisi zilivyo itabidi nikupeleke kiwandani kabisa maana hapo nyembe za madukani hazipiti.
Halafu hilo shati funga vifungo basi unapoenda kuhubiri maana naona kathorax kanajitokeza, na hivi? hukupewa collar,au hukumaliza mafunzo?
Na mikono huko chini umeshika nini?
Mapadre wa chama hiki bwana!!
 
Jamani am lost na aina hii ya uchangiaji .
Comments on CDM watu hapa si kwamba hawapendi habari zingine za CCM au KAFU hapana ila namna habari zinakuja kishabiki ndiyo maana watu wanakuwa na maneno ya kuzomea . JF sisi tulianza 2 hapa lakini leo wamekuja watu wapuuzi hapa wanarusha maneno na hata kupotosha na kupoteza maana ya mada zinazo wekwa hapa . Watu wameshindwa kuwa na matumizi mazuri ya forum hiii kwa faida ya wote. Ukija na habari za CCM hapa watu wamechoka lakini hatuwezi kuacha kuwasikiliza CCM utakuwa si ukomavu. Wacha waje walete hoja tujibu hoja na kuwauliza maswali mazito ndiyo kukomaa na ndiyo ya kuitwa thinkers . MUda wote ambao nimekuwa siko nimekuja nakuta majina mapya mengi na vurugu nyingi .

Hiili si jambo jema . Tumpinge mtu hoja with no insults and names calling . Sijaelewa mleta mada na kumweka William alitaka nini . Najua William alisema anaenda kwenye mkutano na VP .Je mleta amekosa picha ya William ameingiwa kichaa kaanza maneno ya ajabu ?

Wote CCM na CDM ni watanzania kabisa . But ubaya wa CCM ni kudhani waipewa nchi hii yao na Mungu na watanzania wa vyama vingine si watanzania this is the biggest mistake is being done by CCM .
Kuweni watu wazima .Tujenge hoja na tuheshimiane . Mimi huwa nampinga mno lakini I never callled him names .Hapa tuna watu wa umri tofauti hata kama wengine wameficha majina yao lakini tuheshimiane . Weka uweledi wako kwa maandiko na heshima utapewa maana ni through haya maandiko utah heshimiwa hapa jamvini .

Hii ni akiba ya maneno kwenu nyie wapenda matusi na kuwa na hasira za haraka .
 
Clap, clap, clap....bravo ! Well spoken like a true patriot ! Problem is, personally I find it hard, real hard to trust anything coming out anybody who still clings to the idea that my beloved country cant exist without CCM at the helm. For almost 50 year CCM has done nothing other than plundering the wealth of this nation like the end of world is just around the corner. And yet somebody still has the impunity and audacity to stand before me and without even blinking an eye, claim otherwise.

No, Mkuu Lole Gwakisa, just give me one good reason why you still have any faith in CCM which over the years has evolved to become something closer to a haven of thieves than a political party. Why, why oh brother, just give me one reason why after all these years I should still give you any time of day to listen to your well orchestrated lies and promises. Many of us, you must understand, are hurting so much inside that it is just by miracle I am here responding nonviolently to you.

Mag3, not CCM and not anybody(not even CDM) will deliver you from the bondage of poverty.
If you think otherwise then you will have yourself to blame in old age.
You heard Mkapa the otherday castigating politicians who have tall tales of helping ALL wananchi from cradle to grave.
Nyerere tried it and he failed.
Dou get my poit?
Politicians are a rare creed of personalities who live by the day-I dont blame them, and they are very smart at it.
Now whether its CCM or CDM I dont see angels there.
What we can do is to shout out at their excesses, and in that we are doing alright, that is me and you.
To think that another nascent party like CDM can deliver us from bondage is a far cry.
Almost all politians have one resource- and thats their ability to talk, lie and shout.
With this capital they almost always end up being super rich-from the business of talking!

Sasa ndugu yangu chama hakitakupa elimu, niwewe mwenyewe
chama hakikupi biashara ni wewe mwenyewe
chama hakitakupa mikopo ya kujenga au kuanzia biashara, ni wewe mwenyewe
Shout all you can but at the end of the day go and feed your kids.
 
Lole uko sahii kabisa

Tatizo la nchi zetu tunategema wanasiasa ndo watleta mabadiliko. Na matokeo yake wanasiasa wanajitwisha majukumu yasio yao au wasiyaweza na kuwahadaa wananchi.

Mimi siku zote sioni kwa nini mbuge awe na malipo bora kuliko Ofisa ELIMU, AFYA, KILIMO au RPC wa wilaya au mkoa. Sidhani hata Huko nchi zilizoendelea ndivyo ilivyo kwa MP is best paid public employee kwenye wilaya na mkoa ? Alafu tunajidanganya nchi yetu eti priority ni Kilimo Kwanza. ukweli ni uwa Nch yetu ni siasa kwanza si kilimo wala uchumi wala elimu kwanza

Watu wanaotakiwa kuwa front line kutatua matatizo ya wanchi ni watendaji wa ELIMU, AFYA, MIFUGO. KILIMO. sio wanasiasa.

Mimi kwa kweli if I was making decision basi kama ningefaya kipato cha watendaji wa mikoni na wilayani wawe sawa au zaidi ya wabunge. hii ingesaidi badala watu kukimbilia kwenye siasa wakimbilie kazi hasa za kuleta mabadiliko.
 
- Mtoa mada heshima yako sana ndugu yangu, sikujua kuwa ninabeba uzito namna hii umeniona na picha hizo nimo sana ila zangu naona umeficha ili uje ufungue thread hapa maana ulijua ikiwa na jina langu on a negatvie tone, basi itapata wachangiaji wengi na utaweza kuki-promote chama chako ambacho mimi sio mwanachama, now what is your point kwamba next time nitajikimbiza ili nijiunge na hicho chama ili na mini nitokee kwenye picha zako humu na michuzi? ha! ha! ha!

- Well, people kwenye mkutano nilikuwepo na picha yangu na Makamu, nimeweka facebook maana kule ndio mahali pa picha hapa ni Taifa na politics sio mahali pa kukenuliana meno hapa ebo!, sasa mkuu my message to you mleta mada, next time you play again this childish game it will be on your own risk, si unajua I looooove this game!

- Wewe ungeweka tu picha zako na kusema kuhusu chama chako na uongozi wako, lakini kunitumia jina langu kwa faida zako binafsi, sikufurahishwa sana mkuu, au ungeniomba nikusaidie badala ya kujaribu kunizunguka, I am very dis-appointed kwa sababu najua who you are, hata hivyo nitakutafakari sana na zaidi ili kujua what to do ili usirude tena na hizi cheap pomotion na nitakuheshimu sana kama utanipigia simu kuniomba radhi kwa this childish game!

Thaanks Mkuu!

William @ NYC, USA.
 
Jamani am lost na aina hii ya uchangiaji .
Comments on CDM watu hapa si kwamba hawapendi habari zingine za CCM au KAFU hapana ila namna habari zinakuja kishabiki ndiyo maana watu wanakuwa na maneno ya kuzomea . JF sisi tulianza 2 hapa lakini leo wamekuja watu wapuuzi hapa wanarusha maneno na hata kupotosha na kupoteza maana ya mada zinazo wekwa hapa . Watu wameshindwa kuwa na matumizi mazuri ya forum hiii kwa faida ya wote. Ukija na habari za CCM hapa watu wamechoka lakini hatuwezi kuacha kuwasikiliza CCM utakuwa si ukomavu. Wacha waje walete hoja tujibu hoja na kuwauliza maswali mazito ndiyo kukomaa na ndiyo ya kuitwa thinkers . MUda wote ambao nimekuwa siko nimekuja nakuta majina mapya mengi na vurugu nyingi .

Hiili si jambo jema . Tumpinge mtu hoja with no insults and names calling . Sijaelewa mleta mada na kumweka William alitaka nini . Najua William alisema anaenda kwenye mkutano na VP .Je mleta amekosa picha ya William ameingiwa kichaa kaanza maneno ya ajabu ?

Wote CCM na CDM ni watanzania kabisa . But ubaya wa CCM ni kudhani waipewa nchi hii yao na Mungu na watanzania wa vyama vingine si watanzania this is the biggest mistake is being done by CCM .
Kuweni watu wazima .Tujenge hoja na tuheshimiane . Mimi huwa nampinga mno lakini I never callled him names .Hapa tuna watu wa umri tofauti hata kama wengine wameficha majina yao lakini tuheshimiane . Weka uweledi wako kwa maandiko na heshima utapewa maana ni through haya maandiko utah heshimiwa hapa jamvini .

Hii ni akiba ya maneno kwenu nyie wapenda matusi na kuwa na hasira za haraka .

- Mkuu Lunyungu, heshima yako sana mkuuwangu duh!, vipi ndugu yangu kwema sana huko? Niwekee number yako ya sasa kwenye inbox tuongee siku nyingi sana bros! MUCH RESPECT!

William @ NYC, USA.
 
Yer right mkuu Lunyungu.Kwa wale waliofika NY jamaa Willy ni very welcoming na supportive kwa kusaidia kuifanya safari yako huko kuwa as comfortable as possible.
Mimi nimefaidika na ukarimu wake miaka kama mitatu iliyopita pamoja na kwamba tulikuwa hatufahamiani kabisa.
Hii ya kuitana magamba, kama alivoonyesha mtoa mada ni utoto wa kuweka serious issues in bad light.
Ntashangaa sana kama mtoa mada alikuwa part of the VC's entourage huko NY.
Na focus ya habari yake ni nini hasa? kwani umeambatana na VC kumtafuta William?

- Mkuu wangu sana Lole, haina taabu nilikuwepo kwenye mkutano na nimeongea kidogo sana na Makamu privately kuhusu CCM, mleta mada ana lengo moja tu nayo ni kukipromote chama chake ambacho amesahau kwamba mimi ndiye niliyekwua wa kwanza kukipigia sana debe hapa, Otherwise, ni mambo ya territory haya infact last two weeks nilikuwa na Mkuu Wa Dunia hapa Brother Richie Kasesela, we had a great time you know, kuhusu kujivua magambas hilo ninalifanyia sana kazi sasa hivi usiku na mchana, kwa sasa tumeunganisha nguvu na Tawi la CCM kule Houston, ambako mimi ni kiongozi pia na soon tutasimisha Shina la CCM hapa NY tukisubiri ok ya CC ili kusimamisha tawi rasmi la CCM If you will!

- Karibu sana tena mkuuwangu anytime, na Mkuu Lunyungu tuwasilane ndugu yangu, maana ni muda mrefu sana nimekuja bongo sikukuona Bro, nilikuwa sana kwa Mwenyeliti wa Chadema na pia nilikutana sana waandishi wa Tanzania Daima pale juu, it was nice, so tuwasiliane mkuu maana ninakuja tena soon, lazima tuonane bro tujadili muelekeo wa Taifa!

- Mleta mada ana nia moja tu, nayo ni kunigombanisha na Viongozi wa chama cha Wa-Tanzania, ambao wengi ni marafiki wangu wa karibu sana, so! nimeongea nao tayari kuhusu hii ishu, anahangaika tu bila sababu!

William @ NYC, USA.
 
Tuliokusanyika kumsikiliza Mr Ghalib Bilali siyo Watanzania, tulikuwa wote Wazanzibari na hapa New York hatuko wengi, tuliomba wazanzibari wenzetu toka NJ, na DC. Mngejaribu nyie wabara kuja kwenye kikao chetu mngekiona cha moto.

Sahihisha kauli hiyo maana kule New Rochelle NY aka mkutano wa watanzani wanajaa watu hadi ukumbi kutapika, iweje makamu wa mkuu wa nchi wahudhuriaji kama wanafamilia fulani tu. Nadhani alidanganywa huku Dr.

Kuna rafiki zangu kadhaa ninaowafahamu na huwa hawakosekani katika matukio muhimu nimeangaza katika picha hizo sioni hata sura moja, maana yake kwa lugha rahisi tuseme wamesusia. Natamani nifungesafari kwenda utembelea tena USA niwape uamsho wa kitaifa, maana uamsho wa magamba unazidi kuchefua na watu hatuko tayari kutafuta rags kwa ajili ya kukinga yatokanayo na magamba ya kujichubua.

Mheshimiwa Malecela tafadhali nipangie ratiba ya kuja kuanza madrasa ya uamsho wa kitaifa kuanzia New Rochelle, Mount Vernon, na kuishia Westechester county.
 
Kuna wageni jamvini naona wanamwita W Malecela gamba jipya . The man ni CCM miaka yote na amekuwa hapa muda sana ni sasa kaamua kutumia jina lake ila ana jina lake maarufu sana hapa .What I like abour William aka FM akianza na kitu hadi ajue mwisho wake .Na ni mstaarabu si kama CCM wengine akiwa amekosea atakuja hapa na kusema Wazee samahani .Ila asema na yeye ana mambo yake magumu tu akimpenda mtu hahahaah . William tuwasiliane namba yangu ni ile ile .
Dah, nimepata faraja kubwa sana kukuona jamvini kaka Lunyungu

its a good day to me!!!
 
- Mkuu wangu sana Lole, haina taabu nilikuwepo kwenye mkutano na nimeongea kidogo sana na Makamu privately kuhusu CCM, mleta mada ana lengo moja tu nayo ni kukipromote chama chake ambacho amesahau kwamba mimi ndiye niliyekwua wa kwanza kukipigia sana debe hapa, Otherwise, ni mambo ya territory haya infact last two weeks nilikuwa na Mkuu Wa Dunia hapa Brother Richie Kasesela, we had a great time you know, kuhusu kujivua magambas hilo ninalifanyia sana kazi sasa hivi usiku na mchana, kwa sasa tumeunganisha nguvu na Tawi la CCM kule Houston, ambako mimi ni kiongozi pia na soon tutasimisha Shina la CCM hapa NY tukisubiri ok ya CC ili kusimamisha tawi rasmi la CCM If you will!

- Karibu sana tena mkuuwangu anytime, na Mkuu Lunyungu tuwasilane ndugu yangu, maana ni muda mrefu sana nimekuja bongo sikukuona Bro, nilikuwa sana kwa Mwenyeliti wa Chadema na pia nilikutana sana waandishi wa Tanzania Daima pale juu, it was nice, so tuwasiliane mkuu maana ninakuja tena soon, lazima tuonane bro tujadili muelekeo wa Taifa!

- Mleta mada ana nia moja tu, nayo ni kunigombanisha na Viongozi wa chama cha Wa-Tanzania, ambao wengi ni marafiki wangu wa karibu sana, so! nimeongea nao tayari kuhusu hii ishu, anahangaika tu bila sababu!

William @ NYC, USA.
post ya kitoto sana, imeshindwa kuaddress chochote zaidi ya kujisifia

somethings never change!!
 
Usimlaumu mkuu, hizo picha ndivo zilivyopostiwa kwenye blogu ya michuzi hakuna hata moja iliyoongezwa au kupunguzwa, hata mimi nilikuwa najiuliza mkuu wangu Willie mbona simuoni?
 
- Mtoa mada heshima yako sana ndugu yangu, sikujua kuwa ninabeba uzito namna hii umeniona na picha hizo nimo sana ila zangu naona umeficha ili uje ufungue thread hapa maana ulijua ikiwa na jina langu on a negatvie tone, basi itapata wachangiaji wengi na utaweza kuki-promote chama chako ambacho mimi sio mwanachama, now what is your point kwamba next time nitajikimbiza ili nijiunge na hicho chama ili na mini nitokee kwenye picha zako humu na michuzi? ha! ha! ha!

- Well, people kwenye mkutano nilikuwepo na picha yangu na Makamu, nimeweka facebook maana kule ndio mahali pa picha hapa ni Taifa na politics sio mahali pa kukenuliana meno hapa ebo!, sasa mkuu my message to you mleta mada, next time you play again this childish game it will be on your own risk, si unajua I looooove this game!

- Wewe ungeweka tu picha zako na kusema kuhusu chama chako na uongozi wako, lakini kunitumia jina langu kwa faida zako binafsi, sikufurahishwa sana mkuu, au ungeniomba nikusaidie badala ya kujaribu kunizunguka, I am very dis-appointed kwa sababu najua who you are, hata hivyo nitakutafakari sana na zaidi ili kujua what to do ili usirude tena na hizi cheap pomotion na nitakuheshimu sana kama utanipigia simu kuniomba radhi kwa this childish game!

Thaanks Mkuu!

William @ NYC, USA.
Huna maana mtoto wa fisadi ni fisadi tu!!! Acha vitisho vyako. Tukiikomboa nchi yetu you will be in trouble, just wait and see
 
The problem we have ni Mtanzania kutojitambua wao ni Watanzania kwanza then work to find solutions na sio kutafuta kazi Tanzania, life after New York - USA you just continue killing your people. Hivi noose za kutaka kujenga jumuia zenye malengo ua kipuuzi na malengo ya kupata posho za bajeti they will fail.

Propaganda and hidden opportunists always fail ... you can't cheat the people. Join cdm movement only real solution.
 
Mbona kuna jamaa amejipigia gwanda la cdm hapo karibu na bilal?,ama kweli raia sasa hawawezi tena kujificha
 
- Mtoa mada heshima yako sana ndugu yangu, sikujua kuwa ninabeba uzito namna hii umeniona na picha hizo nimo sana ila zangu naona umeficha ili uje ufungue thread hapa maana ulijua ikiwa na jina langu on a negatvie tone, basi itapata wachangiaji wengi na utaweza kuki-promote chama chako ambacho mimi sio mwanachama, now what is your point kwamba next time nitajikimbiza ili nijiunge na hicho chama ili na mini nitokee kwenye picha zako humu na michuzi? ha! ha! ha!

- Well, people kwenye mkutano nilikuwepo na picha yangu na Makamu, nimeweka facebook maana kule ndio mahali pa picha hapa ni Taifa na politics sio mahali pa kukenuliana meno hapa ebo!, sasa mkuu my message to you mleta mada, next time you play again this childish game it will be on your own risk, si unajua I looooove this game!

- Wewe ungeweka tu picha zako na kusema kuhusu chama chako na uongozi wako, lakini kunitumia jina langu kwa faida zako binafsi, sikufurahishwa sana mkuu, au ungeniomba nikusaidie badala ya kujaribu kunizunguka, I am very dis-appointed kwa sababu najua who you are, hata hivyo nitakutafakari sana na zaidi ili kujua what to do ili usirude tena na hizi cheap pomotion na nitakuheshimu sana kama utanipigia simu kuniomba radhi kwa this childish game!

Thaanks Mkuu!

William @ NYC, USA.
Huna lolote huwezi kumtisha yeyote nilitegemea utajenga hoja badala yake unakuja na vitisho mbuzi too low!!!
 
hawa warudi kwao bwana wanafanya nini huko? mbona hatuoni mchango wao katika taifa letu hapa wananenepeana tu na kutaka kuonekana kwenye picha hapa.
Watu anadhani kuishi kwa wazungu ni sifa. Tunataka tuone uhamishaji wa vyanzo vya maendeleo ndiyo tuone faida ya wao uwa huko. wasikae huko kufanya vibarua tu na kurudi wanatamba na kujiona wa maana. Jk aliwahi kuwaambia wawekeze kwao walikotoka. Tatizo sisi ni kupenda starehe. wachina au wajapan wakienda nchi za wenzao wanatafuta mazuri na kuyapeleka kwao. Sisi hata huyo makamu wa rais kaeda kutalii. Miaka nenda rudi hawjifunzi hata usafi wa miji ya wenzao. AJABU.
 
Back
Top Bottom