Picha: Foleni ya kwenda kumuona Sheikh Ponda Hospitali ya Muhimbili

Hivi umaarufu wa huyu mtu umetokana na jema ama jambo gani la kishujaa alilofanya mpaka iwe hivyo?
 
kwani wewe unaproduction gani? usikute ni mfagiaji kule TRA ,nawe unajiona umeadvance.
... hiyo ndiyo production ndugu yangu, tofauti na matumizi ya kunywa kahawa na kashata, halafu baadaye unakuja kulalamika kuwa 'wanapendelewa'!
 
Leo ndio umeona kwamba taarifa za Ponda sio za Siasa mbona tangu juzi habari za kupigwa kwake Risasi zimo/zipo humu haukuyaandika haya au roho inakuuma kuona mapenzi waliyonayo hao wanzania wanaoenda kumuangalia kipenzi chao.

Mkuu chondechonde punguza munkari lilikuwa swali la kiutaratibu tu!
 
Tukiweka siasa/udini pembeni, je afya ya mgonjwa Sheikh Ponda na wagonjwa wengine waliolazwa hapo hospitali ya Muhimbili, sehemu ya MOI hawawezi kudhurika kiafya na kimapumziko na umati huo uliojitokeza hospitalini? Pia shughuli za watoa huduma kama madaktari, wauguzi na wafanyakazi wa usafi haziweki kupata changamoto kubwa na kushindwa kutoa huduma bora?
 
Ni hoja ya msingi sana,lakini kwasababu hakuna taaluma imewekwa pembeni tutaendelea kushuhudia maajabu mengi ktk nchi yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom