Picha, dream house tunayokusudia kujenga?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
0x600.jpg


Wanaotaka mjengo wa nenda na wakati mwaonaje na mtindo huu wa dream house?
 
0x600.jpg


Kama ya hapo juu haina mvuto kwako, hii hapa je kujenga Kigamboni mpya kando ya lile daraja mpya la kisasa?
 
th
Hetu tuondoke na hii. Napendekeza hii ajengewe first lady ili atanue vilivyo pale Mbayuwayu akiachia ulaji. Laiti Lwakatare angeona mdude huu kabla.
 
th
Hetu tuondoke na hii. Napendekeza hii ajengewe first lady ili atanue vilivyo pale Mbayuwayu akiachia ulaji. Laiti Lwakatare angeona mdude huu kabla.

Hii imetulia, hata mwenye kipato cha wastani anaweza kufanyia mahesabu kwa miaka ikawa dream house ya kutulia baada ya kustaafu.
 
Hiyo ni modern house style american style sawa kabisa ila nyumba hii inafaa iwe maanndari karibu na bahari,ziwa au mito kwa us utazikuta sana maeneo ya malibu, al pato miami , michigan etc
Ni nyumba inayohitaji security system ya juu kwani asilimia kubwa ni mbao na vioo huku bongo maybe utumie cement na vioo vyenyewe sio vioo vya kununulia kariakoo
Ni nyumba ambayo inahitaji uwazi ili uone maandhari hivyo haitakiwi uiweke ukuta....
Na kwa style hiyo kibongo bongo umekwisha kwani wale wa mtaji wa masikini ni nguvu zao wenyewe kila siku watakuwa wanakuja kukutembelea....
Nikipata muda nitakumbuka website ya house designs utapata michoro mingi tu..
 
Jengo sio hili ndugu yangu...jengo ni kaburi utakalozikwa.....mwisho wa siku huyo anaekaa hapa tutakuwa sawa kaburi size moja, udongo ule ule...na mwili utakuwa udongo kama mtu anaejisaidia kwenye choo cha full suite Tandale kwa Mtogole...
 
sa we mtoa mada hicho mbele ya hyo dream house yako ndo kaburi lako ukifa wakudumbukize huko aauuu??
 
Back
Top Bottom