Picha: Dr. Slaa na JK - Urafiki Wa Mashaka?

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Haaaaa haaaaa Urafiki wa Mashaka? Hata hawaangaliani?

Lakini inapendeza kuona kuwa viongozi wa Nchi wakati mwingine wanaweka siasa pembeni na kufanya kazi za Kijamii kwa maslahi ya Watanzania.

Hii ndito Tanzania tunayoitaka. Hongera JK. Hongera Dr. Slaa.

Hebu tujaribu kuziwekea Maneno tuone inakuwaje? Wabunifu wanakaribishwa!

Picha kwa hisani ya: matukio-michuzi

cc6.jpg

cc40.jpg
 
Picha zote JK hamwangalii Slaa usoni. Body language talks best.

Mkuu, mbali ya shughuli hiyo ya Kijamii, I dont know what was going on in the back of their minds. hapo ndo tunaomba wabunifu watusaidie!
 
Handshake mmeiona? track Suit ya Dr Slaa je?

I think inabidi Dr. awe na mpambe wa kumsaidia juu ya mavazi, maana hiyo track suit . . . . .
 
Handshake mmeiona? track Suit ya Dr Slaa je?

I think inabidi Dr. awe na mpambe wa kumsaidia juu ya mavazi, maana hiyo track suit . . . . .

Mbona haina tatizo. Au ulitaka avae nguo zinazobana kama wanazovaa masharabaro? Halafu waweza kuta Slaa ni yeboyebo labda ndio maana aliwatolea uvivu kuvaa tracksuit nyekundu.
 
Mbona haina tatizo. Au ulitaka avae nguo zinazobana kama wanazovaa masharabaro? Halafu waweza kuta Slaa ni yeboyebo labda ndio maana aliwatolea uvivu kuvaa tracksuit nyekundu.

Mkuu kwa sababu zozote zitakazotolewa, track Suit ni kubwa saaana. Kama Dr. ni X basi track Suit ni XXXL.

Lakini poa tu.
 
Back
Top Bottom