Picha: Diamond Platnumz awashukuru wadau waliofanikisha ushindi wa tuzo ya MTV MAMA

Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,164
5,761

913.jpg


Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) akipozi kwa picha na mameneja wake mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo. kulia ni Bw. Said Fella na kutoka kushoto ni Babu Tale na Sallam Sharaf.


175.jpg


Salam Sharaf Meneja wa Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) katika shughuli za kimataifa akizungumza na waandishi wa habari huku mwaamuziki huyo mwenye miwani akifuatilia wakati wa mazungumzo na waandishi wa habari kwa ajili ya kuwashukuru wadau wote wa muziki na mashabiki wake kwa mchango wao kutokana na ushindi wake alioupata katika tuzo za muziki za MTV Africa Music Awards. 2015 zilizofanyika katika jiji la Durban Kwazulu -Natal nchini Afrika Kusini Mwishoni mwa wiki iliyopita na kumfanya mwanamuziki huyo alishinda alishinda katika kipengere cha Mtumbuizaji Bora (Besta Live Act) katika tuzo hizo za MTV MAMA. Mkutano huo umefanyika kwenye hoteli ya Tansoma Kariakoo jijini Dar es salaam.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)

267.jpg


Salam Sharaf Meneja wa Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) katika shughuli za kimataifa akizungumza na waandishi wa habari huku mwaamuziki huyo mwenye miwani akifuatilia alipozungumza na waandishi wa habari kwa ajili ya kuwashukuru wadau wote wa muziki na mashabiki wake kutokana na ushindi wake alioupata katika tuzo za muziki za MTV Africa Music Awards. 2015 zilizofanyika katika jiji la Durban Kwazulu -Natal nchini Afrika Kusini Mwishoni

358.jpg


Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) akizungumza na waandishi wa habari huku akiwana tuzo yake aliyoipata nchini Afrika Kusini.

543.jpg


Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo uliofanyika leo kwenye hoteli ya Tansoma jijini Dar es salaam.

641.jpg


Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari huku katika mkutano huo.

730.jpg


Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) akipozi kwa picha mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo. wa pili kutoka kulia ni Mmoja wa mameneja wa Diamond Platnumz Bw. Said Fella.

824.jpg


Mwanamuziki Nassib Abdull (Diamond Platnumz) akipozi kwa picha na mameneja wake mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo. kulia ni Bw. Said Fella na kutoka kushoto ni Babu Tale na Sallam Sharaf.


 
Mwanamuziki pekee wa Tanzania wa class fulani amaziiiiiing kwa kila kitu na anazidi kupaaaaaaaa.

Suti zinavyompendezaga yaani achene tu bonge la handsome man fulani hadi raha

pokea mabusu mengi na msalimie mkeo

#watanyooka tu
 
Nasi tunakushukuru kwa kututoa kimaso maso, unatupunguzia stress hujui tuu....Mola akubariki
 
Safi sn diamond platinumz mond bin laden chibu dangote endelea kuwakilisha bendera ya taifa n kuwa inspire wasanii wenzako Kama Ali kiba, ommy dimpoz, nao wafike level izo
 
chenga tupu hakuna kitu hapo mzee wa mbeleko huyoo. si anataka colabo ya king huyu
 
Kaza msuli diamond maana ukifulia watu hawatakuwa na story nyingine watakuwa wanazungumzia huo mdomo wako mara uko ivi mara vile,lkn ukikaza msuli unawafunga midomo. Good job.
 
Diamond none to second.....love yooooooooooou sweetheart of tanzania
 
Back
Top Bottom