NAOMBA KUULIZA HIVI MWAMPAMBA NA SHONZA mbona hawakuwepo Morogoro kutumbuiza?au kimetokea nini?kinana vs wananchi waliopewa buku buku za vocha!
kinana: ndugu wananchi tumewaletea wasanii wengi sana je CHADEMA wanaletaga?
wananchi:hawaletagi!
kinana: ccm oyeeee!
wananchiyeeeee
kinana: kidumu chama cha mapinduz
wananchi:kidumu chama tawala
kinana;ccm imewaleta marais wa china ,marekan, je CHADEMA wamemleta nani?
wananchi:hawajaleta yeyote!
kinana: ccm oyeeee!
wananchiyeeeee
kinana:ndugu wananchi rais ni handsome au sio handsome
wananchi:handsome!
kinana: ccm oyeeee!
wananchiyeeeee