Picha: Camera ya simu ipi inaweza kupiga picha bora zaidi kama hizi?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Weka na bei ya simu

20231016_085354.jpg
 
Simu yenye Camera nzuri sana ninayo faham ni Samsung Galaxy S23 Ultra sport; kamera yaKe ni kali kuliko Iphone 14. Picha kama hiyo inaweza kuwa imepigwa kwa simu kuanzia Samsung Galaxy S21 Ultra au hata Iphone 12 promax na kuendelea juu. Bei zake watakujuza wengine.

Naona hapo kwa Picha inaonekana kasha la S10? inaweza kuwa ndiyo camera aliyopigia. Picha pia hutegemea sana Mwanga na kizuizi cha mwanga (back ground) hivyo yaweza kuwa pia ni Camera ya kawaida kama hiyo S10
 
Simu yenye Camera nzuri sana ninayo faham ni Samsung Galaxy S23 Ultra sport; kamera yaKe ni kali kuliko Iphone 14. Picha kama hiyo inaweza kuwa imepigwa kwa simu kama Samsung Galaxy S22 Ultra au hata Iphone 12 promax na kuendelea juu. Bei zake watakujuza wengine
Kwani yeye kapiga na kamera ipi!??
 
Simu yenye Camera nzuri sana ninayo faham ni Samsung Galaxy S23 Ultra sport; kamera yaKe ni kali kuliko Iphone 14. Picha kama hiyo inaweza kuwa imepigwa kwa simu kama Samsung Galaxy S22 Ultra au hata Iphone 12 promax na kuendelea juu. Bei zake watakujuza wengine
Nimejaribu kuifuatilia hiyo s23, nimeshtuka sana baada ya kukuta inauzwa Tsh 2.3m. Mkuu hakuna simu ya bei chee inayopiga picha kama hiyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom