Namshukuru m/mungu kwa kurejea salama, baada ya ziara ndefu katika jimbo la Kilombero kutoka tarehe 16/10/2014 hadi juzi tarehe 31/01/2015.
Lengo ya ziara ilikua ni kufanya mikutano ya hadhara katika kata zote 35 za jimbo la Kilombero ya kutoa elimu ya uchaguzi wa serikali ya mitaa, katiba mpya, ukawa n.k pia kulikuwa na semina baada ya mikutano juu ya ujazaji fomu na mkakati wa kushinda serikali za mitaa.
Namshukuru Mungu zoezi hilo lilikwenda salama na kufanikiwa kuapata ushindi wa kutosha. Katika vijiji 110 vya jimbo la Kilombero uchaguzi umefanyika katika vijiji 107 na matokeo yapo hivi.
CHADEMA imepata vijiji 45, CUF 12 na CCM 50, kwahiyo UKAWA tuna vijiji 57 na CCM vijiji 50. Na katika mamlaka ya mji mdogo IFAKARA kuna vitongoji 33, CHADEMA imeshinda Vitongoji 29 na CCM imepata 4.
Mwisho napenda kuwapa shukrani kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa sapoti walionipa lakini pia kwa viongozi wa UKAWA kutoka ngazi ya msingi, matawi, kata na jimbo kwa ushirikiriano walionipa.
"KWA MAENDELEO YA KWELI KILOMBERO, MASLAI YA UMMA KWANZA

Attachments
-
FILE335.JPG1.2 MB · Views: 1,148
-
FILE434.JPG1.2 MB · Views: 1,039
-
FILE437.JPG1,006.7 KB · Views: 940
-
FILE832.JPG1.1 MB · Views: 906
-
FILE673.JPG996.4 KB · Views: 875
-
FILE006.JPG1.1 MB · Views: 760
-
FILE028.JPG68.1 KB · Views: 739
-
FILE111.JPG943.3 KB · Views: 700
-
FILE095.JPG52.6 KB · Views: 729
-
FILE039.JPG53.9 KB · Views: 2,664