PICHA: Ajali, Mtembea kwa miguu agongwa na gari la UDART Magomeni

kwa hiyo mnaona hayo mabasi ni bora zaidi kuriko binadamu umasikini tulionao ni kilema...ajali zipo kila sehemu ni stress tuu za maisha usidhani mtu akiwa normal hawezi kusikia achilia mbali sauti ya gari iyo honi pia...mtu anagongwa na freightliner engine breki ina sauti kama ya treni...mawazo mawazo ndio yanayotugongesha road wakuu..na nayakuja popote pale hayachagui...
Acha upimbi,wewe shaambiwa kuwa nikwaajili ya Barbara mahalumu
 
ndugu usitetee tu haya mabasi et barabara yao hyo! kuna madereva wao vichaa hata kwenye zebra hawasimami kabisa
Barabara za mwendokasi hazina Zebra crossing isipokuwa kwenye maeneo ya stendi zao. Kwa sehemu kubwa kugongwa na mabasi haya itakuwa ni uzembe wa anayevuka barabara.
 
Kila kitu tunapuuzia hata mambo ya msingi,kingine leo nimepanda bus tukiwa Magomen Mapipa dereva akatutangazia kama kuna abiria anaetaka kushuka jangwani abonyeze switch nyekundu iliyopo ktk nguzo,watu kama kumi wakabonyeza kufika kituoni milango imefunguliwa hakuna alieshuka na kutupotezea mda bila sababu za msingi..shida kujifanya wajanja kumbe ni ujinga.
teh teh teh! mashokoro magheni (sijui km nimepatia)
 
View attachment 348287

Picha juu aliyefikwa na ajali akipakiwa katika pick up.

Note : Tuwe makini na hizi barabara maalum maana ni maalum kwa mabasi ya mwendo kasi tu na siyo kitu kingine, litakapokufika utalia na wa kwenu maana Watanzania tumekuwa wazito sana kuelewa.

CHUKUA TAHADHARI MAPEMA!

Wanamning'iniza majeruhi kwa ubavuni mwa gari wakati wamefungua mlango wa nyuma, nilidhani wamefungua mlango ili kumpitisha kwa urahisi
 
Treni haigongi mtu...bali mtu hugonga treni! Kwa hiyo hapo wataweza kusema huyo mtu ndiye aliyeligonga.....ishu zingine dah!
 
kwa hiyo mnaona hayo mabasi ni bora zaidi kuriko binadamu umasikini tulionao ni kilema...ajali zipo kila sehemu ni stress tuu za maisha usidhani mtu akiwa normal hawezi kusikia achilia mbali sauti ya gari iyo honi pia...mtu anagongwa na freightliner engine breki ina sauti kama ya treni...mawazo mawazo ndio yanayotugongesha road wakuu..na nayakuja popote pale hayachagui...

Umeongea point, kwani waenda kwa miguu kila sehemu wamewekewa njia za juu,au na wao pia ili wavuke upande wa pili sehemu zingine siinabidi watambuke umoumo katika Barbara za BRT au sehemu zote pamewekwa madaraja yakuvukia waendao kwa miguu,,,Kama inabidi wavuke upande was pili kwa kutambuka umoumo kwenye Barbara zao, basi mi nadhani na madereva nao wawe makini,labda km wamerusiwa na sheria kugonga chochote kinachokatiza,hapo ni sawa
 
Jana nilikerwa sana
Hasa hawa bodaboda sijui wana Akili gani hawa !!!
Hebu watu tubadilike jamani

Watu wamepewa Daraja kuvukia juu
Lakini hawaelewi mpaka apate kuvunjika Mkono ndio ajue nihatari
 
Lakini naona pamoja na kuwahi kumsaidia lakini hawajazingatia kanuni za kumhudumia aliyegongwa. Wamembeba kiholela which means wanaweza kumsababishia ulemavu wa kudumu. Pole yake!!
 
kwa hiyo mnaona hayo mabasi ni bora zaidi kuriko binadamu umasikini tulionao ni kilema...ajali zipo kila sehemu ni stress tuu za maisha usidhani mtu akiwa normal hawezi kusikia achilia mbali sauti ya gari iyo honi pia...mtu anagongwa na freightliner engine breki ina sauti kama ya treni...mawazo mawazo ndio yanayotugongesha road wakuu..na nayakuja popote pale hayachagui...
Wewe bwana wacha kutetea upuzi
 
Kabla ya kulaumu lazima ujiulize je huyo aliyegongwa ni mkazi wa Dar ambaye anajua maana hizo barabara isijekuwa ni mgeni amefika Dar jana leo ametumwa mjin hajawahi kuona lami kijijin kwao leo ukimwambia kuna barabara ya magari maalum na kiswahili hajui je atakuelewa vipi?
 
Mimi mwenyewe jana nimeshuhudia kwa macho yangu mama mmoja kagongwa na hayo mabasi. ni kosa la huyu mama kavuka bila kuangalia na kwa vile kulikuwa na foleni kwenye barabara za kawaida huenda huyu dereva wa basi hakumuona. Kwa kweli Elimu ya kutumia hizi barabara inahitajika sana. mtu anaacha zebra crossing au daraja anenda kujitupia sehemu ambapo magari yanapita kwa speed hapo unategeme nini? ukikuta nao bodaboda na maguta njia yote ni ya kwao, kwenye zebra wanapita, kulia wanapita kushoto wanapita ni vurugu tupu. kama madereva wasipoendesha kwa defense watawagonga wengi. Pale manzese watu wanagongwa kila siku. jumamosi mtoto kagongwa na roli tairi ilimkanyaga kichwa kikapasuka pasuka kafa palepale. Hawa Darts waandae vipindi maalumu kwa watumiaji wa hizi barabara, kwa redio na TV, ajali zitapungua sana.
 
Sie mbona hapa urafiki kuna zebra crossing inapita katkat ya hiyo barabara na ndo tunapovukia? sema huyo mtu alivuka ghafla akitarajia gari lisimame apite but wewe mvuka bsrabara unatakiwa usubiri hili gari lipite ndo uvuke sio likupishe wewe!
 
Back
Top Bottom