Physical Therapy

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,317
7,734
Habari zenu wanaJF.

Jamani naombeni msaada, kwa hapo Dar es salaam, ni sehemu gani wanatoa huduma ya Physiotherapy?

Natanguliza shukurani wandugu.
 
Guys, inamaanisha hakuna hata mmoja anayejua wapi naweza pata hii huduma?
Msaada tafadhalini.
 
Hospitali zifuatazo zina physiotherapists:
Agha khan, Hindu Mandal, Regency, Lugalo, TMJ na Mount Mkombozi iliyoko kinondoni Morroco. Pia kuna za Private nzuri sana- moja iko Moroco karibu na Furaha Clinic. Kama una pesa taslimu nenda ya Morocco.
 
Back
Top Bottom