Photos:Buriani Kanumba

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139

Mwili wa marehemu kanumba ukiwa katika kwa ajili ya kuagwa kwenye viwanja vya leoaders mapema leo, msanii huyo aliyefariki usiku wa kuamkia jumamosi amezikwa jioni ya leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Mama mzazi wa marehemu akiaga
Hawa ni watoto wa kiume ambao waliibuliwa katika sana na marehemu Kanumba
Zao la Kanumba katika tasnia ya filamu
Nyota hawa wadogo wataendelea kumkumbuka Kanumba milele kwaniu ndiye aliyeibua vipaji vyao
Wanakamati ya mazishi ambao ni wasanii wenzake marehemu Kanumba wakiwa pimbeni ya jeneza la kipenzi chao.
Miss Tanzania 2006 ambaye pia ni msanii aliyeibuliwa na marehemu Kanumba, Wema Sepetu katikati akiwa na wasanii wenzake.


Mdogo wa marehemu, Seth
Huyu ni baadhi ya wengi waliozimia kutokana na kutoamini kile kilichotokea
Mbunge wa viti maalum Vicky Kamata na mkurugenzi wa African Stars, Asha Baraka
Mmmoja ya wasanii wa bongo muvi, Yvone Cherry 'Monalisa' akisaidiwa na wenzake


Mpiganaji Athuman Hamis naye alifika kumuaga marehemu Kanumba
Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal aliongoza upande wa serikali hapa akiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete (Mwenye nguo nyeupe), Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Emmanuel Nchimbi, Mkuu wa mkoa wa DAr es Salaam, Meck Sadick wa kwanza kushoto na mama Zakhia Bilal wa kwanza kulia.
Dada wa marehemu akisaidiwa
Ilikuwa ni majonzi makubwa
Kalale pema peponi Kanumba, Kalale pema peponi Kanumba


Picha nzuri kwa Hisani ya MAMAPIPIRO BLOG
 
Pumzika kwa amani kanumba
Kile tunachokipenda wanadamu na Mungu nae amekipenda zaidi
 
Picha nzuri kabisa, na za Kiwango!
Tunashukuru sana tulioko mbali na eneo la tukio.
 
hakika kijana huyu alikuwa kipenzi sio tuu cha watu bali hata muumba wetu. R.I.P

Ni nini kilichokufanya ufikirie alikua kipenzi cha Muumba? Umetafakari alikua Mtu wanaina gani hadi umuhusishe Muumba? Kwa mtazamo wangu alikua Mtu hatari kwa watoto wa kike hasa wale Aliowaibua kwamba "wanavipaji" na kuwaingiza kwenye Sanaa.
 
ni nini kilichokufanya ufikirie alikua kipenzi cha muumba? Umetafakari alikua mtu wanaina gani hadi umuhusishe muumba? Kwa mtazamo wangu alikua mtu hatari kwa watoto wa kike hasa wale aliowaibua kwamba "wanavipaji" na kuwaingiza kwenye sanaa.

watu wakali lol
 
Khe huyu aliyemshika dada yake Kanumba si Mboni?ameanza lini ukaribu na dada yake Kanumba?Kutafuta sifa tabu kweli.
 


Miss Tanzania 2006 ambaye pia ni msanii aliyeibuliwa na marehemu Kanumba, Wema Sepetu katikati akiwa na wasanii wenzake.


Mdogo wa marehemu, Seth
Huyu ni baadhi ya wengi waliozimia kutokana na kutoamini kile kilichotokea
Mbunge wa viti maalum Vicky Kamata na mkurugenzi wa African Stars, Asha Baraka
Mmmoja ya wasanii wa bongo muvi, Yvone Cherry 'Monalisa' akisaidiwa na wenzake
Wigs, cosmetics, mikanda ya sidiria nje nje -- basi hata ktk mazishi!!!
 
Back
Top Bottom